Podcasts by Category
- 3 - KWANINI WANAUME HUSAPOTI KIRAHISI WATU BAKI KULIKO WAKE ZAO
Je, kwanini huwa ni rahisi mume kusapoti mama yake, ndugu zake, rafiki zake, wafanyakazi wenzake, watoto wake? Jibu hili hapa
Fri, 03 Apr 2020 - 05min - 2 - JE, WANAUME HAWAPENDI WANAWAKE WALIOFANIKIWA?
Kwanini wanaume hawapendi wanawake wenye uwezo? Je, wapo kinyume na uwezo wao? Na kwanini wanaonekana kuwapenda zaidi wanawake duni? Majibu haya na unaweza kupata ufafanuzi zaidi katika kitabu cha USICHOJUA KUHUSU WANAUME..piga namba/whatsap 0715104034 kupata nakala yako
Thu, 02 Apr 2020 - 03min - 1 - CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO
Mahusiano ni jambo zuri ikiwa yanakuwa katika hali ya amani na furaha. Tofauti na matarajio ya wengi wanapikuwa kwenye mahusiano Watu wanaumia, wanaumizwa na wanaumizwa. Ikiwa kuna jambo moja ambalo unaweza kufanya ni kujua nini hasa kinachochochea kwa kiwango kikubwa migogoro hii katika nyakati hizi kuliko wakati mwingine wowote..katika episode hii Deogratius ametoa dondoo chache muhimu ambazo zimekuwa chachu kwa migogoro mingi katika mahusiano. Kitabu cha USICHOJUA KUHUSU WANAUME sasa kinapatikana. Kwa mawasiliano piga namba 0715104034
Mon, 30 Mar 2020 - 10min
Podcasts similar to CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- Tiempo de Juego COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Espacio en blanco Radio Nacional
- Les Grosses Têtes RTL
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR