Nach Genre filtern
Katika sehemu hii utapata vipindi na makala mbali mbali toka redio Rumuli. Unaweza kuchagua toka hazina yetu ya makala zenye upako na msaada kwa maisha yako ya kila siku. Mahubiri, mafunzo ya watoto, vipindi vya vijana, wababa na wamama, michezo, uchumi na biashara, kilimo na ufugaji, maadili, habari na burudani. Wasiliana pamoja nasi kupitia kwa barua pepe rumuli@nehemiatz.org au whatsapp, telegram no +255627909686.
- 43 - Pr. Joseph Muttassa Mahubiri 2Fri, 23 Aug 2024 - 1h 31min
- 42 - Pr. Hawa Ayoub MahubiriFri, 23 Aug 2024 - 1h 01min
- 41 - Pr. Frideswida Jimmy MahubiriFri, 23 Aug 2024 - 28min
- 40 - Pr. Joseph Muttassa MahubiriThu, 22 Aug 2024 - 1h 12min
- 39 - Pr. Jane Katalaiya MahubiriThu, 22 Aug 2024 - 29min
- 38 - Judia Mbeikya MahubiriThu, 22 Aug 2024 - 20min
- 37 - Pr. Peter Barnaba MahubiriWed, 21 Aug 2024 - 1h 10min
- 36 - Bishop Johaness Kasimbazi MahubiriTue, 20 Aug 2024 - 1h 06min
- 35 - Ujumbe Wa Neno La MunguTue, 20 Aug 2024 - 20min
- 34 - Neno La MunguThu, 09 May 2024 - 1h 31min
- 33 - Tenzi No 26Tue, 07 May 2024 - 32min
- 32 - Ulimwengu Wa Miujiza 2
Karibu sana katika Kipindi cha Ulimwengu wa Miujiza, kipindi ambacho kinakuletea mambo mengi yanayohusiana na utendaji wa nguvu ya Mungu katika maisha ya mwanadamu. Hii ni nguvu ya kiMungu ambayo inafanya kazi ya ajabu kwenye maisha ya mwanadamu na kuleta badiliko la ajabu juu ya wote wanaoliamini jina la Yesu Kristo. Ni imani yangu kwamba hadi unamaliza kusikiliza kipindi hiki, utapata neema ya kuelewa na kuendelea kuiamini nguvu hii inayoutengeneza ulimwengu wa miujiza ambayo akili na uwezo wa mwanadamu hauwezi kufanya.
Thu, 18 May 2023 - 30min - 31 - Ulimwengu Wa Miujiza

Thu, 18 May 2023 - 29min - 30 - Ulimwengu Wa Mkristo Tetes Za Vita
Ulimwengu wa Mkristo ni kipindi ambacho kinakuletea mkusanyiko wa mambo tofauti hususani habari na matukio yanayojiri katika ulimwengu huu na kuligusa moja kwa moja Kanisa la Yesu Kristo. Katika kufuatilia kipindi hiki, utapata kuyafahamu mambo mengi yanayojiri na pengine kukupa neema ya kujiimarisha kiroho wakati Kanisa likipita katika vipindi tofauti na vigumu, hususani kipindi hiki cha nyakati za siku za mwisho.
Thu, 11 May 2023 - 06min - 29 - Ulimwengu Wa Mkristo Majanga
Ulimwengu wa Mkristo ni kipindi ambacho kinakuletea mkusanyiko wa mambo tofauti hususani habari na matukio yanayojiri katika ulimwengu huu na kuligusa moja kwa moja Kanisa la Yesu Kristo. Katika kufuatilia kipindi hiki, utapata kuyafahamu mambo mengi yanayojiri na pengine kukupa neema ya kujiimarisha kiroho wakati Kanisa likipita katika vipindi tofauti na vigumu, hususani kipindi hiki cha nyakati za siku za mwisho.
Thu, 11 May 2023 - 31min - 28 - Msaada Utokao Mbinguni Baraka Za Kalvari No 2
Msaada Utokao Mbinguni ni kipindi ambacho kinamsaidia msikilizaji kuutazama msaada wa Mungu ambao huyafanya yale yaliyoshindikana na kumpa upenyo wa namna ya kiMungu katika kuuendea ushindi aliokusudiwa na Mungu mwenyewe. Katika Kipindi hiki, utapata kusikia na kufahamu Baraka za Mungu zitokanazo na kazi ya msalaba wa Yesu Kristo kwa wanandamu wote, ushindi uliomo pamoja na wokovu uliopatikana Kalvari kwa kifo cha Yesu Kristo.
Thu, 11 May 2023 - 45min - 27 - Msaada Utokao Mbinguni Baraka Za Kalvari No 1
Msaada utokao Mbinguni ni kipindi ambacho kinamsaidia msikilizaji kuutazama msaada wa Mungu ambao huyafanya yale yaliyoshindikana na kumpa upenyo wa namna ya kiMungu katika kuuendea ushindi aliokusudiwa na Mungu mwenyewe. Katika Kipindi hiki, utapata kusikia na kufahamu Baraka za Mungu zitokanazo na kazi ya msalaba wa Yesu Kristo kwa wanandamu wote, ushindi uliomo pamoja na wokovu uliopatikana Kalvari kwa kifo cha Yesu Kristo.
Thu, 11 May 2023 - 1h 01min - 26 - Msanii Wetu Joanitha
Msanii Wetu ni Kipindi kinachokupa fursa ya kufahamu kwa undani kuhusu huduma ya uimbaji, kutoka kwa watumishi wa Mungu ambao kupitia Ofisi hiyo, wamemtumikia Mungu kwa furaha. Katika kipindi hiki, utausikia ushuhuda wa Joanitha, ambaye baada ya kupona majeraha kichwani yaliyotokana na kupigwa na kitu kizito kichwani na kundi la watu wanaosadikika kuwa ni wezi, na kuamua kumuimbia Mungu kwa kuzinena habari za utukufu wake
Wed, 10 May 2023 - 43min - 25 - Rhema Outreach Ministries Kyabajwa At Redio Rumuli
Washirika wa Kanisa la Rhema Outreach Ministries Kyabajwa, walipata nafasi ya kufika kwenye Studio za Redio Rumuli kwa ajili ya kufanya shughuli mbalimbali za kujitolea, ikiwa ni pamoja na kufanya usafi wa mazingira. Kitendo hiki kiliwabariki zaidi watendakazi wa Kituo hiki, na zaidi ya yote watumishi hao wakapata nafasi ya kueleza kuhusu msukumo wa wao kufanya hivyo. Karibu upate kusikiliza shuhuda zilizomo kwenye rekodi hii kwa baraka zaidi.
Wed, 15 Feb 2023 - 31min - 24 - Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo H
Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika kazi zake za kila siku, katika ndoa/familia na katika huduma mtu aliyonayo.
Wed, 30 Nov 2022 - 28min - 23 - Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo G

Wed, 30 Nov 2022 - 29min - 22 - Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo F

Wed, 30 Nov 2022 - 28min - 21 - Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo E

Wed, 30 Nov 2022 - 29min - 20 - Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo D

Wed, 30 Nov 2022 - 30min - 19 - Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo C

Wed, 30 Nov 2022 - 29min - 18 - Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo B

Wed, 30 Nov 2022 - 29min - 17 - Uchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo A

Wed, 30 Nov 2022 - 24min - 16 - Ladies Of Destiny Mahusia Ya Mama
Ladies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha yake.
Kipindi hiki kinalenga kusaidia maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya kuwalea vyema watoto wa kike.
Tue, 22 Nov 2022 - 29min - 15 - Ladies Of Destiny July 14 Final
Ladies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha yake.
Kipindi hiki kinalenga kusaidia maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya kuwalea vyema watoto wa kike.
Tue, 22 Nov 2022 - 27min - 14 - Ladies Of Destiny Binti Na Badiliko
Ladies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha yake.
Kipindi hiki kinalenga kusaidia maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya kuwalea vyema watoto wa kike.
Tue, 22 Nov 2022 - 27min - 13 - Ladies Of Destiny Binti Mwenye Nidhamu
Ladies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha yake.
Kipindi hiki kinalenga kusaidia maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya kuwalea vyema watoto wa kike.
Tue, 22 Nov 2022 - 27min - 12 - Msanii Wetu Pettie Edwin
Kipindi hiki kitakupa fursa ya kufahamu masuala mbalimbali ya kihuduma, hususani huduma ya uimbaji, kutokana na mambo mengi muhimu yaliyozungumziwa ndani yake. Ndani ya kipindi hiki kuna majibu mengi ya maswali ambayo binafsi umekuwa ukijiuliza mara kwa mara, ambayo yanalenga kuongeza ubora katika Ofisi ya uimbaji na kuleta maadili mema na bora kwa wahusika.
Tue, 22 Nov 2022 - 47min - 11 - Mashujaa Wa Imani Bishop Benson Idahosa
Hiki ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka kwenye maisha yao.
Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao hatuna budi kujifunxza kwao.
nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi hivi
Mon, 21 Nov 2022 - 29min - 10 - Mashujaa Wa Imani Asa Alonzo Allen
Hiki ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka kwenye maisha yao.
Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao hatuna budi kujifunxza kwao.
nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi hivi
Mon, 21 Nov 2022 - 28min - 9 - Mashujaa Wa Imani Apostle Joshua
Hiki ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka kwenye maisha yao.
Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao hatuna budi kujifunxza kwao.
nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi hivi
Mon, 21 Nov 2022 - 30min - 8 - Mashujaa Wa Imani Aimee MCPhason
Hiki ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka kwenye maisha yao.
Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao hatuna budi kujifunxza kwao.
nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi hivi
Fri, 18 Nov 2022 - 28min - 7 - Mashujaa Wa Imani Charles Fox Paham
Hiki ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka kwenye maisha yao.
Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao hatuna budi kujifunxza kwao.
nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi hivi
Fri, 18 Nov 2022 - 29min - 6 - HISTORIA YA KANISA (18 April, 2019)
Kipindi hiki ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu, kinalenga kukuletea vipindi mbalimbali ambavyo Kanisa lilipitia, tangu kuondoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo hapa duniani. Kupitia kipindi hiki, utaelewa na kufahamu, jinsi na namna watu mbalimbali walivyojitoa kikamilifu katika kuujenga mwili wa Kristo na kuifanya Injili yake isonge mbele wakati wengine wakijitahidi kuhakikisha wanazikwamisha juhudi hizo.
ni dhahiri kwamba ukiliona Kanisa leo, ujue kwamba kuna sehemu limetoka na kuna sehemu linaelekea, hivyo basi, fuatana nasi katika kufuatilia undani wa historia hii yenye kusisimua.
Wed, 16 Nov 2022 - 29min - 5 - HISTORIA YA KANISA (04 April, 2019)
Kipindi hiki ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu, kinalenga kukuletea vipindi mbalimbali ambavyo Kanisa lilipitia, tangu kuondoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo hapa duniani. Kupitia kipindi hiki, utaelewa na kufahamu, jinsi na namna watu mbalimbali walivyojitoa kikamilifu katika kuujenga mwili wa Kristo na kuifanya Injili yake isonge mbele wakati wengine wakijitahidi kuhakikisha wanazikwamisha juhudi hizo.
ni dhahiri kwamba ukiliona Kanisa leo, ujue kwamba kuna sehemu limetoka na kuna sehemu linaelekea, hivyo basi, fuatana nasi katika kufuatilia undani wa historia hii yenye kusisimua.
Wed, 16 Nov 2022 - 27min - 4 - JE MBINGU IPO? Kipindi kinachokupa jibu la swali kwamba Mbingu ipo au la!
Je Mbingu Ipo, ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu kinakuletea ushahidi kwamba ni kweli Mbingu ipo, na kwamba kuna maisha baada ya kifo. kwa kufuatilia kipindi hiki, utajifunza habari mbalimbali zinazodhihirisha kuwa Mungu yupo na Mbingu ipo. Karibu sana upate kujifunza habari za ushahidi huu.
Tue, 01 Nov 2022 - 32min - 3 - JE MBINGU IPO? Kipindi kinachokupa jibu la swali kwamba Mbingu ipo au la!
Je Mbingu Ipo, ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu kinakuletea ushahidi kwamba ni kweli Mbingu ipo, na kwamba kuna maisha baada ya kifo. kwa kufuatilia kipindi hiki, utajifunza habari mbalimbali zinazodhihirisha kuwa Mungu yupo na Mbingu ipo. Karibu sana upate kujifunza habari za ushahidi huu.
Tue, 01 Nov 2022 - 30min - 2 - MSANII WETU NA PASTOR JJ RWIZA KUTOKA JIJINI DODOMA
Kipindi hiki kitakupa fursa ya kufahamu masuala mbalimbali ya kihuduma, hususani huduma ya uimbaji, kutokana na mambo mengi muhimu yaliyozungumziwa ndani yake. Ndani ya kipindi hiki kuna maswali mengi ya majibu ambayo binafsi umekuwa ukijiuliza mara kwa mara, ambayo yanalenga kuongeza ubora katika Ofisi ya uimbaji na kuleta maadili mema na bora kwa wahusika.
Mon, 31 Oct 2022 - 49min - 1 - Ladies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha yake.
Kipindi hiki kinalenga kusaidia maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya kuwalea vyema watoto wa kike.
Tue, 25 Oct 2022 - 01min
Podcasts ähnlich wie Redio Rumuli Podcast
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Espacio en blanco Radio Nacional
- Les Grosses Têtes RTL
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR