Nach Genre filtern
Welcome to the Tanzania Embassy Beijing Podcast! Headed by His Excellency Mbelwa Kairuki, Ambassador of United Republic of Tanzania in People’s Republic of China which is also accredited to Socialist Republic of Vietnam, the Democratic People’s Republic of Korea and the Mongolian People's Republic. Tanzania Embassy Beijing Podcast will be sharing Information on Tanzania and China, doing business, trade and investments in Tanzania - China and much more.
- 21 - Taarifa Muhimu kwa Makampuni yanayouza Soybean katika soko la ChinaMon, 03 Apr 2023 - 03min
- 20 - Taarifa kwa Watanzania wanaoishi China kuhusu tahadhari dhidi ya maambukizi ya UVIKO19
Taarifa kwa Watanzania wanaoishi China kuhusu tahadhari wanazopaswa kuchukua dhidi ya maambukizi ya UVIKO19
Sun, 11 Dec 2022 - 05min - 19 - Taarifa kuhusu Bidhaa za Uvuvi kutoka Tanzania zinazohitajika kwa wingi katika soko la China
Taarifa kuhusu bidhaa za uvuvi (wild aquatic products) zinazohitajika kwa wingi katika soko la China na utaratibu wa kujisajili ili kuuza China kufuatia mkataba uliosainiwa wakati wa Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Samia Suluhu Hassan nchini China
Mon, 05 Dec 2022 - 10min - 18 - Taarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya Rais
Taarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
Sat, 29 Oct 2022 - 18min - 17 - Ujumbe Maalum kwa Wanafunzi wanaojiandaa kwenda Masomoni nchini ChinaFri, 16 Sep 2022 - 09min
- 16 - Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Ushirikiano wa Uchumi kati ya Tanzania na China
Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Ushirikiano wa Uchumi kati ya Tanzania na Jimbo la Zhejiang la nchini China. o la Zhejiang (CCPIT- Zhejiang Sub Council) Ndugu Chen Zongyao jijini Hangzhou. Zhejiang ni mojawapo ya Majimbo ya China yenye nguvu kubwa ya kiuchumi ikiwa na GDP ya Dola za Kimarekani Bilioni 849 na GDP per capital ya Dola za Kimarekani 14,907. Kutokana na utajiri wa Jimbo hilo, zipo fursa nyingi za biashara na uwekezaji.
Sat, 03 Sep 2022 - 05min - 15 - Taarifa Maalum kwa Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Vyuo vikuu vya ChinaMon, 22 Aug 2022 - 08min
- 14 - Taarifa ya ufafanuzi kuhusu Usafiri wa kwenda China
Hivi karibuni Shirika letu la Ndege la Air Tanzania limetangaza kurejesha safari ya kwenda Guangzhou nchini China kuanzia tarehe 17 Julai 2022. Kufuatia tangazo hilo Ubalozi umepokea ujumbe kutoka kwa wananchi mbalimbali hususan wafanyabiashara wakitaka kujua kama hivi sasa China imefungua mipaka yake na kwamba watanzania wataweza sasa kuja China na Air Tanzania kwa ajili ya shughuli zao.
Sun, 10 Jul 2022 - 09min - 13 - Ujumbe kwa wafanyabiasha na Waagizaji wa bidhaa kutoka ChinaSun, 26 Jun 2022 - 12min
- 12 - Hotuba ya Balozi Mbelwa Kairuki katika Jukwaa la Imperial Springs International Forum
Balozi Kairuki aiomba Jumuiya ya kimataifa kushirikiana katika kulikabili janga la UVIKO19 badala ya kuyabagua mataifa ya Afrika yaliyoiwezesha dunia kufahamu aina mpya ya kirusi cha UVIKO19 (OMICRON). Rai ameitoa katika Mkutano wa Kimataifa wa Mwaka 2021 wa Imperial Springs uliofanyika jijini Guangzhou
Tue, 07 Dec 2021 - 07min - 11 - Taarifa muhimu kuhusu Ufadhili wa Masomo (Scholarships) ChinaFri, 15 Oct 2021 - 10min
- 10 - Mwongozo wa utaratibu wa kuuza muhogo mkavu katika soko la China
Mwongozo wa utaratibu wa kuuza muhogo mkavu katika soko la China kwa Makampuni ya Tanzania yenye nia ya kuchangamkia fursa ya soko
Fri, 15 Oct 2021 - 05min - 9 - Mkutano wa Balozi na Watanzania wanaoishi na kufanya biashara nchini China
Hotuba ya Balozi Mbelwa Kairuki katika Mkutano na Watanzania wanaofanya Biashara na Kuishi nchini China uliofanyika tarehe 8 Agosti 2021
Sun, 08 Aug 2021 - 34min - 8 - Ujumbe kuhusu fursa ya kuuza maharage ya soyaMon, 02 Aug 2021 - 06min
- 7 - Ujumbe kwa Wafanyabiashara wa Madini
Taarifa kwa wadau wa Madini nchini kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Madini utakaofanyika jijini Tianjin tarehe 24 Oktoba 2021
Mon, 26 Jul 2021 - 06min - 6 - Ubalozi wa Tanzania nchini China kuanzisha dawati la viwanda
Kwa kutambua uhitaji wa Msaada wa kununua Mashine na mitambo ya uzalishaji kwa ajili ya kuanzisha viwanda vidogo, vya kati na vikubwa- kuanzia tarehe 1 Septemba Ubalozi wa Tanzania Nchini China utaanzisha DAWATI LA VIWANDA. Dawati hilo litatoa huduma kwa watanzania watakaokuwa na nia ya kununua kutoka China mitambo ya kuzalisha bidhaa mbalimbali nchini.
Tue, 06 Jul 2021 - 14min - 5 - Ujumbe muhimu kwa wanafunzi wanaofadhiliwa na China Scholarship Council
Taarifa muhimu kwa Watanzania wanaosoma nchini China kwa ufadhili wa China Scholarship Council. Taarifa hiyo inatoa mrejesho kuhusu baadhi ya masuala ambayo wanafunzi waliyawasilisha katika Mkutano Mkuu wa Wanafunzi wanaosoma China uliofanyika tarehe 22 Mei 2021
Tue, 08 Jun 2021 - 08min - 4 - Ujumbe kwa wafanyabiashara wanaotaka kuuza bidhaa nje ya nchi
Mara nyingi Ubalozi unapotangaza fursa mpya ya soko- swali linaloulizwa na watu wengi ambao wanafikiria kuchangamkia fursa hiyo ni "wananunua kwa bei gani au offer yao ni kiasi gani". Ni vizuri kuwa na ufahamu wa jumla kuhusu mwenendo wa bei ya soko la dunia la bidhaa hiyo. Hata hivyo ni muhimu zaidi kwa anayetaka kuuza bidhaa - awe ndio mtoa bei kwani mwenye mali ndio anajua gharama aliyoingia kuipata mali yake na ili asipate hasara anatakiwa kuuza kwa bei gani.Hivyo, unapojipanga kuuza bidhaa nje- ni muhumu ukajua bei itakayokupa faida ni ipi.
Thu, 27 May 2021 - 07min - 3 - Fursa kwa wauzaji wa kahawa kutangaza bidhaa zao katika soko la China
Taarifa ya kwa Umma kuhusu hafla ya kuonja kahawa ya Tanzania "Coffee Cupping" itakayofanyika jijini Changsha tarehe 14-18 Juni 2021. Hafla hiyo itakayohudhuriwa na Makampuni yanayonunua kahawa katika soko la China itawezesha wauzaji wa kahawa ya Tanzania kutangaza bidhaa yao katika soko la China
Thu, 06 May 2021 - 05min - 2 - Taarifa Muhimu kwa Watanzania Wanaosoma Vyuo Vikuu vya China
Taarifa kwa umma inayohusu watanzania wanaosoma vyuo vikuu vya China ambao hivi sasa wapo Nje ya China kutokana na kufungwa mipaka ya China
Sat, 01 May 2021 - 16min - 1 - Mambo ya kuzingatia katika kufanya biashara China
Watanzania wengi hununua bidhaa mbalimbali nchini China kwa madhumuni ya bishara na matumizi binafsi. Baadhi yao wamekumbwa na kadhia ya kuibiwa au kutapeliwa na wafanyabiashara wa kichina. Ujumbe huu unatoa ushauri wa mambo ya kuzingatia ili kuepuka kadhia inayoweza kutokea
Sun, 25 Apr 2021 - 11min
Podcasts ähnlich wie Tanzania Embassy Beijing Podcast
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Espacio en blanco Radio Nacional
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Andere Nachrichten und Politik Podcasts
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Les Grosses Têtes RTL
- James O'Brien - The Whole Show Global
- Global News Podcast BBC World Service
- Economist Podcasts The Economist
- BBVA Desde la banca BBVA Podcast
- Talk TV Radio Talk TV
- C dans l'air France Télévisions
- Le news di Sky Tg 24 Sky TG 24
- 0 из 10 Максим Усенко
- Sky Sports Radio's Big Sports Breakfast Sky Sports Radio
- AfriCan Geopardy Dr Ifesinachi Okafor-Yarwood
- Crime Beat Curiouscast
- Poranna rozmowa w RMF FM RMF FM
- Plus Český rozhlas
- Boekestijn en De Wijk BNR Nieuwsradio
- L'œil de Philippe Caverivière RTL
- LANZ & PRECHT ZDF, Markus Lanz & Richard David Precht
- What Now? with Trevor Noah Spotify Studios
- BBC News XS2RADIO