Filtrar por género
Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32 Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu. Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha FAUTA BIBLIA IKUONGOZE. Ili apate maarifa ya Neno la Mungu. Soma: Hosea 4:66 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Una karibishwa kuuliza ulizo lolote ulilo nalo katika Biblia, na kuleta mahoni yako, kwa usahidizi wa kipindi hiki. Sikiliza mafundisho Pia hapa kwenye YOUTUBE:https://www.youtube.com/@fuatabibliaikuongoze5921
- 44 - TAJI AU THAWABU ZITAKAZOPEWA WATAKATIFU
1 Wakorintho 3:12-15 12 Lakini kama mtu akijenga juu ya msingi huo, dhahabu au fedha au mawe ya thamani, au miti au majani au manyasi, kazi ya kila mtu itakuwa dhahiri. 13 Maana siku ile itaidhihirisha, kwa kuwa yafunuliwa katika moto; na ule moto wenyewe utaijaribu kazi ya kila mtu, ni ya namna gani. 14 Kazi ya mtu aliyoijenga juu yake ikikaa, atapata thawabu. 15 Kazi ya mtu ikiteketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa; lakini ni kama kwa moto. Pia hapa kenye: Apple Podcast: https://podcasts.apple.com/dk/podcast/fuata-biblia-ikuongoze/id1329309738 Spotify Podcast: https://open.spotify.com/show/63df4Xlq7snUoF99dXliMm
Tue, 16 Jul 2024 - 39min - 43 - Itaji Wimbo Mpya Part 2
Zaburi 32:7 7 Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, Utanizungusha nyimbo za wokovu. Itaji limbo mpya ( Daniel 6 )
Tue, 16 Apr 2024 - 35min - 42 - Itaji Wimbo Mpya Part 1.Sun, 18 Feb 2024 - 38min
- 41 - Tunda La Roho ( UVUMILIVU )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Tue, 19 Sep 2023 - 08min - 40 - Tunda La Roho ( AMANI )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Fri, 14 Jul 2023 - 22min - 39 - Tunda La Roho ( FURAHA )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Fri, 14 Jul 2023 - 22min - 38 - Tunda La Roho ( UPENDO )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Fri, 14 Jul 2023 - 34min - 37 - Kunena Kwa Lugha Part 2.2
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
Sun, 29 May 2022 - 31min - 36 - Kunena Kwa Lugha Part 2.1
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
Sun, 29 May 2022 - 31min - 35 - Kunena Kwa Lugha Part 1.2
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
Sun, 29 May 2022 - 27min - 34 - Kunena Kwa Lugha Part 1.1
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
Sun, 29 May 2022 - 27min - 33 - Nguvu Ya Sifa Na MaabuduMon, 09 May 2022 - 24min
- 32 - Fundisho kuhusu PasakaFri, 29 Apr 2022 - 34min
- 31 - Je, chanjo ya corona ni 666?Tue, 29 Mar 2022 - 30min
- 30 - Nini maana ya Kupayuka payuka katika maombi?
Mathayo 6:7 7 Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
Thu, 07 Oct 2021 - 38min - 29 - Barua kwa Sardi( Ufunuo 3:1-6 )Fri, 01 Oct 2021 - 47min
- 28 - Barua kwa Pergamo( Ufunuo 2:12-17 )Fri, 01 Oct 2021 - 45min
- 27 - Barua kwa Smurna ( Ufunuo 2:8-11 )Fri, 01 Oct 2021 - 36min
- 26 - Barua kwa Efeso ( Ufunuo 2:1-7 ) Part 2.Fri, 01 Oct 2021 - 28min
- 25 - Barua kwa Efeso( Ufunuo 2:1-7 ) Part 1.Fri, 01 Oct 2021 - 27min
- 24 - JE, nivizuri watumishi wa Mungu kuwa na walinzi wa mwili ( Bodyguard )?
Ulizo ilio ulizwa na wasikilizaji wetu; Je, nivizuru mtumishi wa Mungu kuwa na walinzi wa mwili ( Bodyguard )? Nawe ukiwa na Ulizo fulani kuhusu Imani yako ya Kikristo, karibu upate kuuliza. Ulizo yako itakuwa usahidizi kwa watu wengine. Support link / Towa msahada wako hapa: https://streamlabs.com/fuatabibliaikuongoze Mafundisho kwa sauti: https://soundcloud.com/user-529110866 https://podcasts.google.com/.../aHR0cHM6Ly9mZWVkcy5zb3VuZ... Tufwate hapa: https://www.facebook.com/Fuata2017 https://www.facebook.com/IKUU-1004985... https://www.youtube.com/watch?v=06eyHgn2ENo&t=2468s
Wed, 19 May 2021 - 29min - 23 - Utofauti wa Huduma na KaramaSat, 13 Mar 2021 - 42min
- 22 - Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 2.Mon, 14 Dec 2020 - 28min
- 21 - Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 1.Mon, 14 Dec 2020 - 27min
- 20 - Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 2 )Fri, 20 Nov 2020 - 29min
- 19 - Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 1 )Fri, 20 Nov 2020 - 26min
- 18 - Mafundisho kuhusu SabatoSun, 04 Oct 2020 - 45min
- 17 - JE, MWANAMKE HARUHUSIWI KUFUNDISHA KANISANI?
Fundisho kuhusu mstari hii. 1 Timotheo 2:12 12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
Sun, 13 Sep 2020 - 35min - 16 - Kuomba Katika Roho Part 2
Pastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.
Wed, 24 Jun 2020 - 27min - 15 - Kuomba Katika Roho Part 1
Pastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.
Wed, 24 Jun 2020 - 30min - 14 - Yohana 14:12
Pasta Apalale ana fundisha katika Fuata Biblia ikuongoze Studio. Yohana 14:12. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
Sat, 04 Apr 2020 - 40min - 13 - Maombezi
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Kuusu Maombezi... 1Timotheo 2:1-3 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; 2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. 3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
Fri, 03 Apr 2020 - 22min - 12 - Nifanye Nini Ili Niingiye Katika Ufalme Wa Mbinguni? Part 2
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni.. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
Fri, 03 Apr 2020 - 26min - 11 - Nifanye Nini Ili Niingiye Katika Ufalme Wa Mbinguni? Part 1
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni.. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
Fri, 03 Apr 2020 - 33min - 10 - Mwisho Wa Dunia Part 2
Pasta Apalale Ause ina fundisha katika kanisa la Eglise Famille de Diue. Mathayo 24:14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Matendo ya Mitume 2:17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
Fri, 03 Apr 2020 - 36min - 9 - Mwisho Wa Dunia Part 1

Fri, 03 Apr 2020 - 39min - 8 - Namba Au Chapa Ya Munyama Part 3
Pastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
Sat, 19 May 2018 - 20min - 7 - Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 3
Pastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
Sat, 19 May 2018 - 15min - 6 - Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 2
Pastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
Sat, 19 May 2018 - 15min - 5 - Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 1
Pastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
Sat, 19 May 2018 - 15min - 4 - Kisha Kanisa Kunyakuliwa Part 2
Pastor Pierre Birunga, kutoka Denmark-Skanderborg. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skanderborg. Fundisho: Kisha Kanisa Kunyakuliwa. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
Sat, 21 Apr 2018 - 13min - 3 - Kisha Kanisa Kunyakuliwa Part 1
Pastor Pierre Birunga, kutoka Denmark-Skanderborg. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skamderborg. Fundisho: Kisha Kanisa Kunyakuliwa. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
Sat, 21 Apr 2018 - 13min - 2 - Mafundisho kuusu Neema Part 2
Pastor Harrison Makenga, kutoka Norway-Oslow. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skanderborg. Fundisho: Neema. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
Sun, 24 Dec 2017 - 25min - 1 - Mafundisho Kuusu Neema Part 1
Pastor Harrison Makenga, kutoka Norway-Oslow. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skanderborg. Fundisho: Neema. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
Sun, 24 Dec 2017 - 25min
Podcasts similares a FUATA BIBLIA IKUONGOZE
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Espacio en blanco Radio Nacional
- Les Grosses Têtes RTL
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR