Podcasts by Category

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

2810 - Wasiwasi wabadilika kuhusu kufukuzwa nchini kwa raia wa New Zealand
0:00 / 0:00
1x
  • 2810 - Wasiwasi wabadilika kuhusu kufukuzwa nchini kwa raia wa New Zealand

    Serikali ya Australia imesema ina uhakika inaweza simamia uhusiano wayo na New Zealand, licha ya wasiwasi ulio zuliwa kuhusu mageuzi kwa sera inayo julikana kama Direction 99.

    Sat, 01 Jun 2024 - 08min
  • 2809 - Taarifa ya Habari 31 Mei 2024

    Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kupatwa na hatai ya uhalifu, baada ya jopo la mahakama la wajumbe 12 mjini New York kumpata na hatia ya udanganyifu wa hati ili kuficha malipo ya kumnyamazisha nyota wa ponografia kabla ya uchaguzi mkuu wa 2016.

    Fri, 31 May 2024 - 19min
  • 2808 - Vita vya Australia vilikuwa vipi na kwa nini historia haija vitambua?

    The Frontier Wars ni neno linalo tumiwa kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati ya wakoloni nawatu wa asili wa Australia, vilivyo tokea wakati wangereza walikuwa wakianza kuishi Australia.

    Fri, 31 May 2024 - 15min
  • 2807 - Wa Australia wa Mataifa ya Kwanza wasema 'Sasa zaidi ya Wakati wowote' upatanisho wa kweli unahitajika

    Hii ni wiki ya Upatanisho, ina adhimisha tarehe mbili muhimu katika historia ya Australia kwa haki zawatu wa Mataifa ya Kwanza.

    Wed, 29 May 2024 - 09min
  • 2806 - Taarifa ya Habari 28 Mei 2024

    Waziri wa maswala ya kigeni wa Australia Penny Wong amesema shambulizi baya la anga la Israel katika mji wa Rafah, linatisha na halikubaliki. Takriban watu 45 wame uawa baada ya shambulizi hilo kusababisha moto mkubwa katika kambi ya mahema ya kitongoji cha Tel Al-Sultan.

    Tue, 28 May 2024 - 20min
Show More Episodes