Filtrar por género

Tanzania Adapts

Tanzania Adapts

BBC Media Action

A new Kiswahili podcast by BBC Media Action in Tanzania.


For many Tanzanians, the term ‘climate change’ refers to changes in weather or seasons, and few people understand its impacts at home and around the world. But experts agree that climate change is already affecting our lives, creating many challenges and some opportunities for change.


This podcast is for anyone who is interested in the ways in which climate change is affecting people in Tanzania, and wants to learn more about how we can all adapt to those changes.


Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.




Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

18 - Tanzania Adapts: Ukweli mchungu kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi.
0:00 / 0:00
1x
  • 18 - Tanzania Adapts: Ukweli mchungu kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi.

    In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes back to the history and science behind climate change and its effects globally and in the country and ways in which we can adapt to those changes.


    Katika Episode hii Marygoreth Richard anazungumza na Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), Mhadhiri wa Chuo Kikuu, Balozi wa mabadiliko ya tabia ya nchi wa Umoja wa mataifa nchini Tanzania lakini pia ni mwanzilishi wa Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). Katika mazungumzo haya Prof Aidan anaturudisha kwenye historia na sayansi nyuma ya mabadiliko ya tabia ya nchi na namna yanavyoendelea na yatakavyoendelea kuleta athari kama hatua hazitachukuliwa. Ametaja hatua mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko hayo kuanzia ngazi ya familia mpaka taifa.



    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Wed, 21 Jun 2023 - 25min
  • 17 - Tanzania Adapts: Haki za binadamu na mabadiliko ya tabia ya nchi.

    Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza kukabiliana na hali hiyo.


    On this Episode Marygoreth Richard seats with an expert from Legal and Human Rights center Felister Mahuya to discuss about how climate change is impacting human rights in Tanzania.



    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Fri, 26 May 2023 - 23min
  • 16 - Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

     “Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa.


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Thu, 11 May 2023 - 15min
  • 15 - Tanzania Adapts: Part 1 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki

     “Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa


    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Fri, 28 Apr 2023 - 27min
  • 14 - Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.

    Alizaliwa kijijini Iringa kwenye changamoto ya umeme, Gibson Kawago kijana mbunifu kutoka Tanzania mwanzilishi wa kampuni ya WAGA inayofanya ubunifu wa kurejelesha betri zilizokufa za Kompyuta mpakato ama Laptop kutengeneza betri za lithium-ion zinatotoa nishati safi ya umeme kwa gharama nafuu. Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na kijana huyu na kudadavua kwa undani ndoto yake ilianzia wapi na kwanini ubunifu wake ni mfano wa kuigwa kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia ya nchi.


    In this Episode Marygoreth Richard talks to Gibson Kawago who is the Founder of Wanted Garage (WAGA), that reuses laptop batteries to provide affordable, reliable, and durable lithium-ion battery solutions. Through WAGA, Gibson can help rural dwellers access off-grid clean and affordable energy for lighting and power solutions.



    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Fri, 14 Apr 2023 - 21min
Mostrar más episodios