Filtrer par genre
A new Kiswahili podcast by BBC Media Action in Tanzania.
For many Tanzanians, the term ‘climate change’ refers to changes in weather or seasons, and few people understand its impacts at home and around the world. But experts agree that climate change is already affecting our lives, creating many challenges and some opportunities for change.
This podcast is for anyone who is interested in the ways in which climate change is affecting people in Tanzania, and wants to learn more about how we can all adapt to those changes.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
- 18 - Tanzania Adapts: Ukweli mchungu kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi.
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes back to the history and science behind climate change and its effects globally and in the country and ways in which we can adapt to those changes.
Katika Episode hii Marygoreth Richard anazungumza na Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), Mhadhiri wa Chuo Kikuu, Balozi wa mabadiliko ya tabia ya nchi wa Umoja wa mataifa nchini Tanzania lakini pia ni mwanzilishi wa Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). Katika mazungumzo haya Prof Aidan anaturudisha kwenye historia na sayansi nyuma ya mabadiliko ya tabia ya nchi na namna yanavyoendelea na yatakavyoendelea kuleta athari kama hatua hazitachukuliwa. Ametaja hatua mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko hayo kuanzia ngazi ya familia mpaka taifa.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Wed, 21 Jun 2023 - 25min - 17 - Tanzania Adapts: Haki za binadamu na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza kukabiliana na hali hiyo.
On this Episode Marygoreth Richard seats with an expert from Legal and Human Rights center Felister Mahuya to discuss about how climate change is impacting human rights in Tanzania.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Fri, 26 May 2023 - 23min - 16 - Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki
“Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 11 May 2023 - 15min - 15 - Tanzania Adapts: Part 1 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki
“Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Fri, 28 Apr 2023 - 27min - 14 - Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.
Alizaliwa kijijini Iringa kwenye changamoto ya umeme, Gibson Kawago kijana mbunifu kutoka Tanzania mwanzilishi wa kampuni ya WAGA inayofanya ubunifu wa kurejelesha betri zilizokufa za Kompyuta mpakato ama Laptop kutengeneza betri za lithium-ion zinatotoa nishati safi ya umeme kwa gharama nafuu. Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na kijana huyu na kudadavua kwa undani ndoto yake ilianzia wapi na kwanini ubunifu wake ni mfano wa kuigwa kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia ya nchi.
In this Episode Marygoreth Richard talks to Gibson Kawago who is the Founder of Wanted Garage (WAGA), that reuses laptop batteries to provide affordable, reliable, and durable lithium-ion battery solutions. Through WAGA, Gibson can help rural dwellers access off-grid clean and affordable energy for lighting and power solutions.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Fri, 14 Apr 2023 - 21min - 13 - Tanzania Adapts: Suluhisho mabadiliko ya tabia ya nchi.
Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na Mkurugenzi Mkazi wa shirika la WWF kwa Tanzania Dr. Amani Ngusaru kujadili changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi na suluhisho mbalimbali za kitaifa na kimataifa kukabiliana na mabadiliko hayo.
In this Episode Marygoreth Richard seats with Dr. Amani Ngusaru WWF Country Director - Tanzania to discuss Climate change solutions both local and International.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Wed, 29 Mar 2023 - 20min - 12 - Tanzania Adapts: Upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Kwenye episode hii nimezungumza na Mkuu wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara Bi. Janeth Mayanja tukijadili juu ya upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ambapo katika wilaya yake anahamasisha upandaji wa miti ya matunda. Pia ndani ya Podcast hii nimezungumza na Afisa Misitu kutoka Wakala wa misitu Tanzania wilaya ya Hanang Rajabu Salehe Mzee akituambia ni kwa namna gani miradi ya namna hii inasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
This Podcast episode is recorded from the field where Marygoreth visited a project that implements tree planting in Manyara region looking at Climate Change adaptation through planting trees. In this episode you will hear from Hanang District Commissioner Janeth Mayanja as we discuss about the project in the region. Also, I interviewed Tanzania Forest Service Agency Officer from Manyara Rajabu Salehe Mzee and Ms. Adelina Manya, Nangwa Secondary School Headteacher who are implementing the project.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Wed, 08 Mar 2023 - 15min - 11 - Tanzania Adapts:Kukabiliana na ukatili unaosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Leo kwenye Podcast hii Marygoreth Richard anazungumza na Bi. Rose Mnjilo ambaye ni Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia masuala ya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na Watoto kwa jamii za kifugaji.Leo utazungumzia ambavyo namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoweza kusababisha ukatili wa kijinsia kwa wanawake na Watoto na namna ya kukabiliana nao.
On this Episode Marygoreth Richard seats with Rose Mnjilo – An expert from Pastoralists' community in Tanzania to discuss on how Climate Change can cause Gender Based Violence in the community.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Fri, 17 Feb 2023 - 28min - 10 - Tanzania Adapts: Utekelezaji wa sera na mikakati kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania
Kwenye Tanzania Adapts Podast wiki hii Marygoreth Richard anazungumza na Mwanahamis Singano Mwanahamisi Singano, Mtaalamu wa masuala ya jinsia na mabadiliko ya tabia ya nchi na harakati zake zimejikita kwenye kuangazia ni kwa namna gani mapambano ya usawa wa kijinsia katika jamii yanaenda sambamba na mapambano dhidi ya athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia ya nchi. Tumezungumza mengi tukiangalia utekelezaji wa sera na mikakati ya mabadiliko ya tabia ya nchi Tanzania na namna kila mmoja anaweza kuwa sehemu ya kusukuma ama kufanikisha utekelezaji wa mikakati hii.
In this Episode, Marygoreth Richard talks to Mwanahamis Singano - Gender and Climate Change expert from Tanzania to discuss the implementation of Climate Change adaptation strategies and policies in Tanzania.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 26 Jan 2023 - 31min - 9 - Tanzania Adapts: Kukabiliana na majanga yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi
Tanzania Adapts leo tunaangalia namna ya kukabiliana na majanga yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi mfano moto,matetemeko, vimbunga na mafuriko. Marygoreth Richard amefanya mazungumza na kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa zimamoto Ilala Mrakibu Elisa Mugisha.
In this episode, our host Marygoreth Richard talks to Elisa Mugisha, who is fire and rescue force commissioner for Ilala, discussing how we can deal with climate change-related hazards such as fire and floods.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 19 Jan 2023 - 26min - 8 - Tanzania Adapts: Part 2 - Athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye afya ya akili
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Magreth Bushesha kutoka Idara ya Jiografia ya Chuo Kikuu Huria Tanzania ambaye pia amebobea kwenye masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi na maisha ya jamii. Kwenye Episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia yanavyoleta athari kwenye afya ya akili kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazoletwa na mabadiliko hayo katika maisha ya kila siku ya jamii. Sikiliza sehemu ya pili ya mazungumzo hayo kwenye link inayofuata. Karibu.
In this episode, we discuss how climate change impacts mental health. Marygoreth Richard sits with Professor Magreth Bushesha from the geography department at the Open University of Tanzania, who specialises in climate change and livelihood systems.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 19 Jan 2023 - 26min - 7 - Tanzania Adapts: Part 1 - Athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye afya ya akili
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Magreth Bushesha kutoka Idara ya Jiografia ya Chuo Kikuu Huria Tanzania ambaye pia ameboea kwenye masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi na maisha ya jamii. Kwenye Episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia yanavyoleta athari kwenye afya ya akili kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazoletwa na mabadiliko hayo katika maisha ya kila siku ya jamii. Sikiliza sehemu ya pili ya mazungumzo hayo kwenye link inayofuata. Karibu.
In this episode we discussing how climate change impacts mental health. Marygoreth Richard sits with Prof. Magreth Bushesha from the geography department at the Open University of Tanzania, who specialises in climate change and livelihood systems.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 19 Jan 2023 - 9min - 6 - Tanzania Adapts:Namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoleta athari ya upatikanaji wa maji Tanzania
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Alex Kisingo ambaye ni Profesor mshiriki kutoka Chuo cha usimamizi wa wanyamapori mweka Tanzania tukijadili juu ya hii changamoto ya upatikanaji wa maji na namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyochangia na kuathiri upatikanaji wa maji Tanzania. Tulifanya mazungumzo haya kwa njia ya simu akitokea Moshi Tanzania na mimi nikiwa Dar es salaam.
In this episode we discuss how climate change affects access to water in Tanzania. Marygoreth Richard sits with Professor Alex Kisingo, an associate professor from the College of African Wildlife Management (CAWM), Mweka. We conducted a phone interview to discuss this topic as we are currently experiencing water scarcity in many parts of Tanzania.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 19 Jan 2023 - 15min - 5 - Tanzania Adapts: Mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoathiri afya ya uzazi
Kufuatia episode yetu iliyopita hii ni sehemu ya pili ya mazungumzo yetu ya namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha athari kwenye afya ya uzazi kwa wanawake. Kwenye episode hii tumeenda mbali zaidi na kumtafuta Daktari kuangalia tafiti, ushahidi wa kisayansi unavyosema juu ya kinachotokea hadi athari hizi kuonekana moja kwa moja kwenye afya ya uzazi ya mwanamke. Ni joto au kuna mengine? Mtangazaji Marygoreth Richard amekutana na Dr Amani Kikula ambaye ni Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama wa hapa Tanzania.
Following our previous episode, we extended this discussion with the doctor to find out more about how climate change could be affecting maternal health in Tanzania. In this episode Marygoreth Richard sits with Dr Amani Kikula who is an obstetrician and gynecologist, reproductive health scientist and lecturer at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) to discuss the main areas of concern, research and evidence on how climate change affects maternal health. Dr Kikula also provides some tips on ways in which we can adapt to these changes for both men and women in Tanzania.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 19 Jan 2023 - 20min - 4 - Tanzania Adapts: Joto linavyoathiri afya ya uzazi na namna ya kukabili
Moja ya athari za mabadiliko ya tabia ya nchi ni joto kali. Katika episode hii Marygoreth Richard amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi mtendaji wa Doris Mollel Foundation, Doris Mollel kujadili namna joto linalosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi linavyoleta athari kwa mama mjamzito kujifungua mtoto kabla ya wakati. Kama mwanaharakati wa masuala ya Watoto njiti, kwenye episode hii Doris anatupa mifano aliyokutana nayo ya wanawake wanaopata changamoto na kujifungua Watoto njiti kutokana na mabadiliko hayo. Kuwa sehemu ya mjadala kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kujadili kwa pamoja mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko hayo.
In this episode Marygoreth Richard sits with Doris Mollel, founder and executive director of the Doris Mollel Foundation, to discuss how climate change affects maternal health and ways to adapt. As a leading baby activist, Doris shares examples of how heat stress can cause pregnant women to have premature babies.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 19 Jan 2023 - 15min - 3 - Tanzania Adapts: Namna mabadiliko ya tabia nchi yanavyoathiri afya yako
Katika episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoathiri afya zetu kwa namna mbalimbali kuanzia chakula tunachokula kinachopatikana katika mazingira yetu kutokuwa na ubora unaotakiwa na ongezeko la magonjwa yanayosabishwa na mabadiliko hayo. Marygoreth Richard anazungumza na Dr Linda Paul ambaye ni Mhadhiri kutoka Chuo kikuu cha tiba na sayansi Muhimbili akifafanunua kwa undani hii inatokeaje na namna tunavyoweza kukabiliana na mabadiliko hayo.
In this edition our host Marygoreth Richard sits with Dr Linda Paul, assistant lecturer from Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), to discuss how climate change is affecting our health - from the food we consume and the increase of diseases. Dr Linda shares tips on how we can adapt to these changes, and examines the role of every individual in tackling this problem.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 19 Jan 2023 - 22min - 2 - Tanzania Adapts: Namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyaothiri Kilimo Tanzania.
Katika episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoathiri sekta ya kilimo Tanzania na namna wanawake wanavyoweza kuongeza uzalishaji wa chakula kukabiliana na changamoto hii. Tumewalenga wanawake ambao ndio wazalishaji wa chakula shambani na nyumbani lakini bado wanakabiliwa na changamoto kama teknolojia duni za kilimo na kutokuwepo kwa usawa kumiliki ardhi. Marygoreth Richard ameketi kuzungumza na Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa Habari za mazingira Tanzania (JET) Dr Ellen Otaru-Okedion. Toa maoni yako kwenye Comments ungetumia njia gani kuongeza uzalishaji wa chakula pamoja na changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi?
In this edition of Tanzania Adapts podcast, Marygoreth Richard talks to Dr Ellen Otaru-Okedion, chair of the Journalists' Environmental Association of Tanzania (JET) to discuss how climate change impacts the agricultural sector in Tanzania, causing food insecurity, and how women can lead efforts to increase food production despite these changes.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Thu, 19 Jan 2023 - 33min - 1 - Tanzania Adapts: Namna ya kukabiliana na hali ya hewa isiyotabirika.
Kwenye Episode hii ya Tanzania Adapts Podcast, Marygoreth Richard na mtangazaji mwenza Faraja Dogeje wanazungumza na wataalamu wa uvuvi na mabadiliko ya tabia ya nchi Edica Mwasisi kutoka Baraza la usimamizi wa mazingira - NEMC na Jumanne Shabani, mvuvi kwa miaka 32, kujadili namna hali ya hewa isiyotabirika inayosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi inavyoathiri sekta ya uvuvi Tanzania na namna tunavyoweza kukabiliana nayo.
In this episode of Tanzania Adapts, Marygoreth Richard and guest presenter Faraja Dogeje talk to experts Edica Mwasisi, a climate change expert from Tanzania's National Environment Management Council (NEMC) and Jumanne Shaban, a fishing expert with 32 years of experience in Tanzania. They discuss how unexpected weather changes attributed to climate change affect different sectors in Tanzania, focuses on the example of the fishing industry, and how everyone can adapt to these changes.
Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.
Learn more on YouTube:https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Wed, 18 Jan 2023 - 22min
Podcasts similaires à Tanzania Adapts
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- Tiempo de Juego COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Espacio en blanco Radio Nacional
- Les Grosses Têtes RTL
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR