Filtra per genere
- 10 - Sauti Ya Matumaini-Amos Mwijonge.
Usipofuta kibao, huwezi jua kwanini gari la taka linaoshwa hili liweze kubeba taka tena. Maana cha muhimu kwetu sio miaka uliyoishi katika maisha yako, cha muhimu kwetu ni thamani ya maisha yako katika miaka uliyoishi. Kumbuka mito hainywi maji yake na miti haili matunda ya mti wake. Sikiliza sauti ya Amosi.... kumbuka hautakumbukwa kwa ulichojifunza, utakumbukwa kwa ulichofundisa wengine duniani. Fuatilia kazi nzuri za Amosi hapaMaisha ni mchezo wa kupona......
Fri, 12 Jun 2020 - 04min - 9 - Sauti Ya Dr Mipango-Waziri wa Fedha na Mipango, Tanzania
Mh, Waziri Dr. Phillip Mipango, anasikika moja kwa moja kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipaza sauti kulelezea Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2020/21 na hali ya Uchumi wakatika wa Bunge la Bajeti Tarehe 11/06/2020. Je, unajua sekta zenye kuwekewa kipaumbele kwa Mwaka 2020/21 na je, unajua #Covid19 imetikisa Uchumi... sikiliza upate kujua mpango wa Serikali katika kuimarisha Afya, Miundombinu, Elimu na Maendeleo kwa ujumla.
Thu, 11 Jun 2020 - 59min - 8 - Sauti Ya Joel Nanauka-Lijue Kusudi Lako
Kila siku unapo amka unapaswa kujiuliza maswali haya; Je, ni maswali gani na kuna sauti gani katika kujiuliza maswali hayo ili uweze kujua kusudi lako. Fuatilia Dakika 3 katika mfululizo wa Sauti Sikika, isikilize Sauti ya Joel Nanauka. Pia unaweza kumfuatilia Joel katika Mitandao ya Kijamii, Instagram; https://www.instagram.com/joelnanauka_/ na Facebook; https://web.facebook.com/jnanauka/ pia katika Channel yake ya Youtube; https://bit.ly/Joel-Nanauka-Youtube
Wed, 10 Jun 2020 - 03min - 7 - Sauti Ya Theresia- Sauti yake akizungumzia Mabadiliko Chanya wakati wa Covid-19.
Theresia anasimulia namna ambavyo Covid19 imekuwa ni changamoto chanya kwake. Maana Theresia amechukulia covid19 katika uhalisia wake zaidi yeye alijiepusha kuishi kwa hofu. Anasisitiza umuhimu wa kuchukua tahadhali na kufuata maelekezo ya wataalamu wa Afya. Amezungumza mengi, ikiwemo swala zima la kujenga mahusiano mazuri na familia, kutumia muda mzuri pia kujiendeleza. Hongera sana Theresia kwa Sauti yako katika Mabadiliko Chanya. Kumbuka unaweza kushare Sauti yako kwa namba +255758044443.
Tue, 09 Jun 2020 - 20min - 6 - Sauti Ya Mabadiliko
Unajua, mabadiliko ni mchakato, ni hatua.. lakini je unajua Mabadiliko ni gharama? na ili kufikia mabadiliko lazima ulipe gharama. Podcast hii inakupa nafasi ya kufahamu sauti ya mabadiliko ili uweze kujiandaa kuisikiliza na kulipa gharama katika kufikia mabadiliko. Ahsante sana, karibu. Tuma maoni yako na sauti yako ya Mabadiliko katika namba hii ilisajiliwa Whats App +255758044443 nasi tutashare podcast yako. Ahsante sana, furahi sauti ya mabadiliko.
Tue, 09 Jun 2020 - 25min - 5 - Sauti Ya Sheila-Changamoto za Kutafuta Ajira kipindi cha #Covid-19Mon, 08 Jun 2020 - 14min
- 4 - Sauti Ya Husna-Sikiliza Sauti ya MudaSun, 07 Jun 2020 - 02min
- 3 - Sauti Ya Balozi Angelo-Vijana na UKIMWISun, 07 Jun 2020 - 04min
- 2 - Sikiliza Sauti Ya Ndani-Sauti Ya Sophie
Rafiki, karibu katika mfululizo wa Sauti Sikika. Msikilize Mgeni Sophie akizungumza nawe. Ni kweli watu wengi wanatamani kujua namna wanavyoweza kuisikiliza na kuitii sauti yao ya ndani. Sasa utawezaje kujua ni wakati sahihi kwa Sauti ya Ndani kusikika. Sikiliza Sauti ya Sophie akikuelezea namna anavyofanya kuisikiliza sauti yake ya ndani. Ahsante sana.
Sun, 07 Jun 2020 - 02min - 1 - Karibu-Sauti SikikaSun, 07 Jun 2020 - 03min
Podcast simili a <nome>
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Espacio en blanco Radio Nacional
- Les Grosses Têtes RTL
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR