Filtra per genere

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

2914 - Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2914 - Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victoria Cross.

    Tue, 12 Nov 2024 - 16min
  • 2913 - Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa"

    Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.

    Tue, 12 Nov 2024 - 13min
  • 2912 - Taarifa ya Habari 8 Novemba 2024

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ame sisitiza umuhimu wakutetea demokrasia katika hotuba yake, kwenye kongamano la wabunge wa jumuiya yamadola.

    Fri, 08 Nov 2024 - 19min
  • 2911 - Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao

    Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.

    Wed, 06 Nov 2024 - 09min
  • 2910 - Taarifa ya Habari 5 Novemba 2024

    Wanaharakati wa Mataifa ya Kwanza wana muhamasisha Kiongozi wa Queensland David Crisafulli, abatilishe uamuzi wake wakufuta uchunguzi wakusema ukweli na uponyaji.

    Tue, 05 Nov 2024 - 19min
Mostra altri episodi