Nach Genre filtern
- 2926 - Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024
Umoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.
Tue, 03 Dec 2024 - 19min - 2925 - Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia
Nchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.
Tue, 03 Dec 2024 - 16min - 2924 - Taarifa ya Habari 29 Novemba 2024Fri, 29 Nov 2024 - 18min
- 2923 - Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini
Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.
Fri, 29 Nov 2024 - 07min - 2922 - Taarifa ya Habari 26 Novemba 2024
Mchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.
Tue, 26 Nov 2024 - 15min - 2921 - Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi
Kila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.
Tue, 26 Nov 2024 - 13min - 2920 - Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni"Tue, 19 Nov 2024 - 27min
- 2919 - Taarifa ya Habari 19 Novemba 2024
Ripoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.
Tue, 19 Nov 2024 - 18min - 2918 - Elewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia
Kuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.
Tue, 19 Nov 2024 - 14min - 2917 - Taarifa ya Habari 15 Novemba 2024
Australia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.
Fri, 15 Nov 2024 - 19min - 2916 - Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa
Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.
Fri, 15 Nov 2024 - 11min - 2915 - Barua ya marekebisho ya katiba yawasilishwa Bungeni DRCFri, 15 Nov 2024 - 07min
- 2914 - Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victoria Cross.
Tue, 12 Nov 2024 - 16min - 2913 - Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa"Tue, 12 Nov 2024 - 13min
- 2912 - Taarifa ya Habari 8 Novemba 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese ame sisitiza umuhimu wakutetea demokrasia katika hotuba yake, kwenye kongamano la wabunge wa jumuiya yamadola.
Fri, 08 Nov 2024 - 19min - 2911 - Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao
Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.
Wed, 06 Nov 2024 - 09min - 2910 - Taarifa ya Habari 5 Novemba 2024
Wanaharakati wa Mataifa ya Kwanza wana muhamasisha Kiongozi wa Queensland David Crisafulli, abatilishe uamuzi wake wakufuta uchunguzi wakusema ukweli na uponyaji.
Tue, 05 Nov 2024 - 19min - 2909 - Matt "tunataka mifumo ya kupata huduma irahisishwe"
Viongozi wa makundi mbalimbali yawa Kenya wanao ishi mjini Sydney, Australia wanajiandaa kukutana nawa bunge nama seneta kutoka Kenya.
Tue, 05 Nov 2024 - 04min - 2908 - Taarifa ya habari 4 Novemba 2024
Chama cha Greens kina omba serikali ya shirikisho ilete mipango yake mbele yaku kata deni la wanafunzi kwa asilimia 20 kwa idadi yawa Australia milioni tatu, hatua ambayo itafuta zaidi ya deni ya wanafunzi yenye thamani ya dola bilioni 16.
Mon, 04 Nov 2024 - 07min - 2907 - Bw Prosper "uzoefu wetu wa ukimbizi hauja ondoa utu wetu"
Australia ni nyumbani kwa ma milioni ya watu kutoka mazingira mbali mbali, walio wahi kuwa wakimbizi wakijumuishwa.
Sun, 03 Nov 2024 - 12min - 2906 - Taarifa ya Habari 1 Novemba 2024
Serikali imethibitisha kuwa inashikilia mafao ya Medicare ambayo hayaja daiwa yenye thamani yama milioni ya dola, kwa sababu wagonjwa hawajatoa taarifa zao za benki ili wapokee hela hizo.
Fri, 01 Nov 2024 - 17min - 2905 - Jinsi yakujenga nyumba yako nchini AustraliaFri, 01 Nov 2024 - 10min
- 2904 - Taarifa ya Habari 29 Oktoba 2024
Faini kwa watoa huduma wa NDIS wasio waaaminifu zita ongezeka kutoka $400,000 hadi zaidi ya $15 milioni, chini ya kanuni mpya zilizo zinduliwa na Bill Shorten jana Jumatatu 28 Oktoba 2024.
Tue, 29 Oct 2024 - 19min - 2903 - Ben & Chance "tangu tuanze kufanya kazi ya Mungu pamoja maisha yamezidi kuwa mazuri"
Umaarufu wa wasanii wa injili Ben & Chance, una endelea kuongezeka kila uchao nchini Rwanda na kimataifa.
Fri, 25 Oct 2024 - 06min - 2902 - Prof Chacha"nchi za Afrika zinastahili tambua jumuiya yaki mataifa hai ongelei tena maswala yao"Fri, 25 Oct 2024 - 07min
- 2901 - Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2024
Viongozi wa kanda ya Pasifiki wame ikosoa Australia katika mkutano wa viongozi wa jumuiya zama dola nchini Samoa, kwa kufeli kuchukua hatua ya ziada kwa mabadiliko ya hali ya hewa.
Fri, 25 Oct 2024 - 20min - 2900 - Michael" viongozi wetu wanaweza fanya kazi kwa kasi wakitaka"
Siasa ya Kenya imetikiswa kwa kura ya kihistoria ndani ya Seneti iliyo sababisha Naibu Rais Rigathi Gachagua kubanduliwa mamlakani.
Wed, 23 Oct 2024 - 17min - 2899 - Athari za Utalii wa Mataifa ya KwanzaWed, 23 Oct 2024 - 13min
- 2898 - Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2024
Mfalme Charles na Malkia Camilla waanza sehemu ya mwisho, ya ziara yao mjini Sydney, katika sehemu ya ziara yakifalme.
Tue, 22 Oct 2024 - 19min - 2897 - Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora"Tue, 22 Oct 2024 - 12min
- 2896 - Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2024
Serikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia kubwa ya ajira hizo zime fadhiliwa na serikali ya shirikisho.
Fri, 18 Oct 2024 - 19min - 2895 - Mhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza"
Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiingereza nchini Australia kabla yaku endeleza masomo yao.
Fri, 18 Oct 2024 - 12min - 2894 - Taarifa ya Habari 15 Oktoba 2024
Mawaziri wa afya wa Australia wame idhinisha mchakato wa haraka, kwa madaktari waliofunzwa ng'ambo kuanza kufanya kazi kote nchini.
Tue, 15 Oct 2024 - 23min - 2893 - Mercy"Tunatazamia kupokea huduma bora kutoka kwa balozi wetu"
Viongozi wa shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association kwa ushirikiano na mashirika mengine yawakenya wanao ishi mjini Sydney wali andaa kongamano la wanafunzi.
Tue, 15 Oct 2024 - 08min - 2892 - Taarifa ya Habari 11 Oktoba 2024
Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame wahamasisha wauzaji wa reja reja wasi wadhulumu wateja.
Fri, 11 Oct 2024 - 18min - 2891 - Prof Chacha "mtu ambaye amekuwa katika hali ya uchochore hawezi mkashifu anaye msaidia"
Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kuongeza ushirikiano na China, ambayo kwa upande wayo ina toa zawadi mbali mbali kwa nchi hizo.
Fri, 11 Oct 2024 - 07min - 2890 - Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024
Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.
Tue, 08 Oct 2024 - 19min - 2889 - Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani"
Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.
Tue, 08 Oct 2024 - 05min - 2888 - Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima"
Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.
Tue, 08 Oct 2024 - 09min - 2887 - Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024
Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao lazwa hospitalini jimboni humo.
Fri, 04 Oct 2024 - 17min - 2886 - Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba AustraliaFri, 04 Oct 2024 - 12min
- 2885 - Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024
Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.
Tue, 01 Oct 2024 - 19min - 2884 - Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia"Tue, 01 Oct 2024 - 09min
- 2883 - Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024
Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.
Fri, 20 Sep 2024 - 16min - 2882 - Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini"Fri, 20 Sep 2024 - 07min
- 2881 - Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa"
Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
Wed, 18 Sep 2024 - 10min - 2880 - Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024
Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.
Tue, 17 Sep 2024 - 18min - 2879 - Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT"
Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.
Fri, 13 Sep 2024 - 07min - 2878 - Taarifa ya Habari 13 Septemba 2024
Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitandao yao.
Fri, 13 Sep 2024 - 17min - 2877 - Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka wanachama wake.
Fri, 13 Sep 2024 - 08min - 2876 - Taarifa ya Habari 10 Septemba 2024
Wauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.
Tue, 10 Sep 2024 - 17min - 2875 - Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili
Understanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuheshimu maarifa ya tiba ya asili, inaweza kuwa muhimu kwa kutoa kutoa huduma kamili na inayo faa kitamaduni katika mazingira yakisasa ya huduma ya afya.
Tue, 10 Sep 2024 - 10min - 2874 - #39 Kuwasilisha marejesho yako ya ushuru | Vidokezo vyakudai gharama (Adv)
Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.
Mon, 09 Sep 2024 - 17min - 2873 - Waganga wakienyeji walikata viungo vya Jessy na George, sasa madaktari wa Australia wanarejesha afya yaoThu, 05 Sep 2024 - 11min
- 2872 - Sekta ya elimu ya juu yasema wanafunzi wakimataifa wamekuwa 'lishe ya mzinga' katika mjadala wa uhamiaji
Idadi ya wanafunzi wakimataifa itawekewa vikomo mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
Wed, 04 Sep 2024 - 10min - 2871 - Taarifa ya Habari 3 Septemba 2024
Data ya hivi karibuni imeonesha kwa sasa ni ghali zaidi kununua nyumba Adelaide au Perth kuliko Melbourne.
Tue, 03 Sep 2024 - 16min - 2870 - David "Kupoteza wanachama 3 ndani ya siku 10 imekuwa pigo kubwa sana kwetu"
Jumuia yawa Kenya wanao ishi Victoria, ina omboleza vifo vya wanachama watatu walio aga dunia ndani ya siku 10.
Wed, 28 Aug 2024 - 11min - 2869 - Taarifa ya Habari 27 Agosti 2024
Kampuni ya ndege ya Singapore Airlines itakuwa kampuni ya kimataifa ya kwanza kutumia uwanja mpya wa ndege wa Magharibi Sydney. Qantas ime ahidi tayari kutumia uwanja huo wa ndege, unao tarajiwa kufunguliwa mwisho wa 2026.
Tue, 27 Aug 2024 - 17min - 2868 - #3 Kuzungumza kuhusu asili zakitamaduni| Jan 26 (Australia Day)
Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu historia ya utamaduni wako. Pia jua kwa nini Australia Day inaendelea kuwa siku ya maandamano kwa wa Australia wa kwanza.
Tue, 27 Aug 2024 - 12min - 2867 - Taarifa ya Habari 23 Agosti 2024
Mamlaka yasiyo ya kawaida yanayo ruhusu jeshi la polisi, kusimamisha ghafla nakufanya msako kwa watu jimboni Queensland yame ongezwa.
Fri, 23 Aug 2024 - 16min - 2866 - Mali yaishtumu Ukraine kwa kuhusika katika shambulio nchini humo
Mgogoro wakidiplomasia ume zuka kati ya Mali na Ukraine baada ya viongozi wa taifa hilo la Magharibi Afrika, kuishtumu taifa hiyo ya Mashariki ya Ulaya kuhusika katika shambulio nchini humo.
Fri, 23 Aug 2024 - 08min - 2865 - Taarifa ya Habari 22 Agosti 2024
Wazazi wapya hivi karibuni wataweza anza pokea malipo yao ya uzeeni juu ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo wekezwa na serikali, sheria ziki tarajiwa kuwasilishwa ndani ya bunge la shirikisho hii leo Alhamis 22 Agosti.
Thu, 22 Aug 2024 - 06min - 2864 - #66 Maswali yaku uliza unapo tazama nyumba unayo taka kodiWed, 21 Aug 2024 - 17min
- 2863 - Aina mpya ya kirusi cha mpox chatambuliwa Pakistan, umakini wa himizwa na hatua ziongezwe
Kesi mpya ya kirusi cha mpox imeripotiwa nchini Pakistan, baada ya kesi kama hiyo kuripotiwa nchini Sweden.
Tue, 20 Aug 2024 - 09min - 2862 - Taarifa ya Habari 20 Agosti 2024
Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amesema utafiti mpya ulio agizwa na chama chake una onesha kuwa wa Australia wanao fanya kazi za kawaida hawa wezi mudu kununua nyumba zao wenyewe.
Tue, 20 Aug 2024 - 19min - 2861 - Nzovu "Miaka ishirini inapita na kabila la Wanyamurenge bado halijapata haki yao"
Usiku wa 13 Agosti 2004 takriban watu 166 wali uawa kikatili, na mamia kujeruhiwa ndani ya kambi ya wakimbizi ya Gatumba, Burundi.
Fri, 16 Aug 2024 - 09min - 2860 - Taarifa ya Habari 16 Agosti 2024
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestina ambao wame kwama Gaza kuingia Australia.
Fri, 16 Aug 2024 - 16min - 2859 - Mtoto wako ananyanyaswa shuleni au mtandaoni? Hatua muhimu unastahili chukuaFri, 16 Aug 2024 - 13min
- 2858 - Kisimba "tuta furahi sana kuona Icon wetu hapa Sydney"Wed, 14 Aug 2024 - 10min
- 2857 - Taarifa ya Habari 13 Agosti 2024
Viongozi wa Marekani na Uingereza wanaweza jiondoa katika makubaliano ya manowari yaliyofanywa na Australia chini ya mpangilio wa AUKUS, kwa kutoa onyo la mwaka mmoja tu kulingana na hati mpya ya ushirikiano huo.
Tue, 13 Aug 2024 - 15min - 2856 - Sababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu
Kila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza sababisha ajali.
Tue, 13 Aug 2024 - 13min - 2855 - Taarifa ya Habari 9 Agosti 2024
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morrison ila, ana hoji kwa nini serikali ya Albanese ina pinga nishati ya nyuklia.
Fri, 09 Aug 2024 - 19min - 2854 - Sekta ya vyuo yadai wanafunzi wakimataifa wanatumiwa kama "mpira" wakisiasa
Vyuo na biashara vina fanya kampeni ya ushawishi dhidi ya sheria zenye utata, kuweka idadi ya wanafunzi wa kimataifa kuanzia mwaka ujao.
Fri, 09 Aug 2024 - 09min - 2853 - Taarifa ya Habari 8 Agosti 2024
Wafanyakazi wa huduma ya malezi ya watoto kote nchini Australia, wana tarajiwa kuongezewa mishahara, iwapo sehemu zao za kazi zita kubali kuto ongeza ada kwa zaidi ya asilimia 4.4 katika mwaka ujao.
Thu, 08 Aug 2024 - 05min - 2852 - Amedee "tunatoa mafunzo na uelewa kwa yaliyo fanyika Rwanda 1994"
Onesho la hadithi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, lime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini Sydney, Australia.
Wed, 07 Aug 2024 - 12min - 2851 - Kuelewa mfumo wa sheria wa Australia: sheria, mahakama na msaada wakisheria
Mfumo wa sheria wa Australia ni mfumo changamano ulio undwa kudumisha utaratibu, kuhakikisha nakulinda haki za raia wake.
Wed, 07 Aug 2024 - 13min - 2850 - Taarifa ya Habari 6 Agosti 2024
Australia imeongeza kiwango cha tisho la ugaidi kitaifa kutoka uwezekano hadi kuwezekana. Serikali imesema kuongezeka kwa itikadi kali katika wigo wa kisiasa na kiitikadi uko nyuma ya marekebisho hayo.
Tue, 06 Aug 2024 - 18min - 2849 - Kiwango cha tisho la ugaidi cha ongezwa kutoka "uwezekano" hadi "kuwezekana"Tue, 06 Aug 2024 - 07min
- 2848 - Taarifa ya Habari 2 Agosti 2024
Waziri Mkuu amesema maoni ya watu wanao ishi na ulemavu yanasikizwa, kufuatia ukosoaji ulio ibuka kufuatia jibu la serikali kwa tume yakifalme kwa ulemavu.
Fri, 02 Aug 2024 - 16min - 2847 - Jeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi"
Hadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.
Fri, 02 Aug 2024 - 05min - 2846 - H_art the Band kuhusu tamasha ya Australia
Kundi la H_art the Band kutoka Kenya, lili kuwa mjini Sydney kwa tamasha yao ya miji 5 mikuu ya Australia.
Fri, 02 Aug 2024 - 13min - 2845 - Taarifa ya Habari 12 Julai 2024
Polisi wadai baba ambaye amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya watoto wake watatu, inadaiwa walifunga milango kuwazuia watu kuondoka ndani ya nyumba iliyo kuwa iki ungua katika kitongoji cha Lalor Park mjini Sydney.
Fri, 12 Jul 2024 - 15min - 2844 - Sanaa inayo sherehekea uhusiano wa watu wa Mataifa ya Kwanza na bahari
Ni wiki ya NAIDOC, wakati wakusherehekea historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Mataifa ya Kwanza.
Fri, 12 Jul 2024 - 05min - 2843 - Taarifa ya Habari 11 Julai 2024
Jumuiya katika maeneo ya magharibi Melbourne, zime ambiwa kuepuka kiwanda cha kemikali ambako moto ulituma moshi wenye sumu angani mjini humo baada ya wazima moto kukabiliana na moto huo usiku kutwa.
Thu, 11 Jul 2024 - 06min - 2842 - Konje "walicho tumia kutuomba kura ndicho wanatumia kufanya maisha yawe ngumu"
Muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya, umevutia upinzani mkubwa kutoka wakenya wanao ishi Australia.
Thu, 11 Jul 2024 - 08min - 2841 - Umuhimu wa itifaki zawa Australia wa asili ni nini kwa kila mtu?
Kuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait wa Australia, ni hatua muhimu kwa kuelewa na kuwaheshimu wamiliki wa jadi wa ardhi tunako ishi.
Tue, 09 Jul 2024 - 11min - 2840 - Taarifa ya Habari 9 Julai 2024
Wakaaji wa Alice Springs wame amka baada ya usiku wa kwanza wa amri ya kuto toka nje ambayo ili wekwa kwa ajili yakupunguza uhalifu.
Tue, 09 Jul 2024 - 18min - 2839 - Jinsi yakufanya rejesho lako la ushuru Australia
Kama wewe ni mkaaji wa Australia kwa madhumuni ya ushuru, kuanzia Julai 1, ambayo ni mwanzo wa mwaka wa fedha, lazima uweke wazi mapato yote uliyopata katika mwaka uliopita wa fedha, dhidi ya makato yako ya kodi.
Tue, 09 Jul 2024 - 12min - 2838 - Taarifa ya Habari 5 Julai 2024
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema muda ambao Seneta Fatima Payman amefanya tangazo lake lakujiuzulu kutoka chama cha Labor ni swala linalo mhusu.
Fri, 05 Jul 2024 - 19min - 2837 - Kinyua "tumekuja kuomboleza walio uawa katika maandamano Kenya"
Wakenya wanao ishi Canberra, Australia walijumuika mbele ya ubalozi wa nchi yao kuonesha mshikamano na vijana wenzao.
Thu, 04 Jul 2024 - 12min - 2836 - Phylis "naomba wakenya wadumishe amani na viongozi wasikize maoni yetu"Thu, 04 Jul 2024 - 05min
- 2835 - Taarifa ya Habari 28 Juni 2024
Vyama vya wafanyakazi wanaunga mkono haki ya wabunge wa chama cha Labor kuvuka sakafu na kupiga kura dhidi ya msimamo wa chama, wakisema hatua hiyo ina imarisha vuguvugu la Labor.
Fri, 28 Jun 2024 - 17min - 2834 - Indigenous art: Connection to Country and a window to the past - Sanaa ya watu wa Asili: Muunganisho wa Nchi na dirisha kwa siku za nyuma
Embracing their oral traditions, Aboriginal and Torres Strait Islander peoples have used art as a medium to pass down their cultural stories, spiritual beliefs, and essential knowledge of the land. - Kukumbatia mila zao zaku simulia hadhithi, watu waki Aboriginal na wanavisia wa Torres Strait wame tumia sanaa kama mbinu yaku changia hadithi za utamaduni wao, imani za kiroho na maarifa muhimu ya ardhi.
Thu, 27 Jun 2024 - 09min - 2833 - Taarifa ya Habari 27 Juni 2024
Mbunge wa chama cha Liberal Simon Birmingham amesema amefurahi kuona masaibu yakisheria ya Julian Assange yame isha ila, ilikuwa makosa kwa waziri mkuu kumpigia simu Bw Assange akimkaribisha nyumbani.
Thu, 27 Jun 2024 - 06min - 2832 - Makena "Viongozi wetu wajifunze kwa yaliyo fanyika Sri Lanka"Wed, 26 Jun 2024 - 19min
- 2831 - Taarifa ya habari 25 Juni 2024Tue, 25 Jun 2024 - 19min
- 2830 - Wahitimu wamatibabu wakimataifa wa elezea kero za sifa zao kutambuliwa Australia
Takwimu mpya zina onesha ongezeko kwa idadi yama daktari, wauguzi na wataalamu wa afya wanao fanya kazi katika mifumo ya huduma ya afya nchini Australia.
Tue, 25 Jun 2024 - 09min - 2829 - Taarifa ya Habari 21 Juni 2024
Australia ime ahidi kuendelea kuwasaidia wakaaji wa Papua New Guinea ambao wanapitia wakati mgumu kumudu maisha baada ya kukabiliwa kwa maporomoko mabaya ya ardhi mnamo Mei.
Fri, 21 Jun 2024 - 19min - 2828 - Taarifa ya Habari 20 Juni 2024
Mwanaume mmoja amefikishwa mahakani leo kwa sababu ya dai la tisho la bomu lililo funga sehemu za mji wa Melbourne jana Jumatano mchana.
Thu, 20 Jun 2024 - 07min - 2827 - Patrick 'nimuhimu kwa wakimbizi kuja Australia wakiwa na leseni yakuendesha gari'Thu, 20 Jun 2024 - 17min
Podcasts ähnlich wie SBS Swahili - SBS Swahili
- Kriminálka Český rozhlas
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Espacio en blanco Radio Nacional
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Andere Nachrichten und Politik Podcasts
- The Ray Hadley Morning Show 2GB
- Ben Fordham Live on 2GB Breakfast Radio 2GB
- The Bolt Report Sky News Australia / NZ
- Credlin Sky News Australia / NZ
- Tình Yêu - Hôn Nhân Báo Phụ Nữ
- Global News Podcast BBC World Service
- Paul Murray Live Sky News Australia / NZ
- You Cannot Be Serious Sam Newman
- The Megyn Kelly Show SiriusXM
- Nights with John Stanley 2GB & 4BC
- Dateline NBC NBC News
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Ukraine: The Latest The Telegraph
- Les Grosses Têtes RTL
- UFO WARNING UFO WARNING
- Sky Sports Radio's Big Sports Breakfast Sky Sports Radio
- The Last Word with Lawrence O’Donnell Lawrence O'Donnell, MSNBC
- Australia Overnight with Clinton Maynard 2GB
- Bannon`s War Room WarRoom.org