Filtra per genere
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
- 42 - Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.Sun, 01 Jul 2012
- 41 - Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwaSun, 24 Jun 2012
- 40 - Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...Sun, 17 Jun 2012
- 39 - Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa OmarSun, 10 Jun 2012
- 38 - Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..Sun, 03 Jun 2012
- 37 - Profesa Abubakar abainika kuwa bandiaSun, 06 May 2012
- 36 - Watekaji nyara wadai pesa ili kumwachia profesa OmarSun, 29 Apr 2012
- 35 - Kwame anamtumia mbinu mbali mbali za kumpata Profesa Omar ikiwemo kumtumia mganga wa jadi, Je atafanikiwa?Sun, 22 Apr 2012
- 34 - Kwame bado anakabiliwa na changamoto ya kufika alipo Profesa Omar .Sun, 15 Apr 2012
- 33 - Je Kwame atakata tamaa kumtafuta Profesa?Sun, 08 Apr 2012
- 32 - Kwame aelekea NiameySun, 01 Apr 2012
- 31 - Kwame na uamuzi wa kuelekea NiameySun, 25 Mar 2012
- 30 - Baada ya kuachiwa huru na polisi Kwame anaendelea na harakati za kumtafuta Profesa Omar, je atafanikiwa?Sun, 18 Mar 2012
- 29 - Kwame apewa maelekezo na Clement mtembezaji wa wataliiSun, 11 Mar 2012
- 28 - Polisi yasema haitamchukulia Kwame kama gaidiSun, 04 Mar 2012
- 27 - Kwame ajibu maswali ya polisiSun, 26 Feb 2012
- 26 - Kwame hana uaminifu na mtuSun, 19 Feb 2012
- 25 - Kwame anakutana na polisi wa kike,je atamsaidia kumpata Profesa Omar?Sun, 12 Feb 2012
- 24 - Nini kitampata Kwame baada ya kufika Tondiedo?Sun, 05 Feb 2012
- 23 - Kwamé anakutana na Clément
Kule Tondiedo, Kwamé anakutana na Clément, mtembezaji wa watalii na mwanafunzi Chuo Kikuu cha Niamey. Anamjua Profesa Omar. Hii inaweza kuwa sehemu ya kuanzia...Jioni kwenye mgahawa, anasikia sauti ambayo si ya kawaida inayomfuata...halafu kule redioni wanazungumzia kutekwa nyara kwa Professa na GIETA, shirika lisilo la serekali linalo dhamini tafiti za profesa. Kwamé, hawaamini.
Sun, 29 Jan 2012 - 22 - Episode ya piliSun, 22 Jan 2012
- 21 - Kwame mtunza bustani yuko katika bustani mara wageni wanaingia.Sun, 15 Jan 2012
Podcast simili a <nome>
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- Tiempo de Juego COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Les Grosses Têtes RTL
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Altri podcast di Formazione Scolastica
- Entrez dans l'Histoire RTL
- Franck Ferrand raconte... Radio Classique
- Au Cœur de l'Histoire Europe 1
- Choses à Savoir - Culture générale Choses à Savoir
- Choses à Savoir HISTOIRE Choses à Savoir
- Les récits de Stéphane Bern Europe 1
- 6 Minute English BBC Radio
- Les Cours du Collège de France France Culture
- Historiquement vôtre - Stéphane Bern Europe 1
- Learning English Conversations BBC Radio
- TED Talks Daily TED
- Histoire des Gangsters Profession Gangster
- Histoire Islam Histoire Islam
- Au Cœur de l'Histoire - Stéphane Bern Europe1
- Histoires du soir : podcast pour enfants / les plus belles histoires pour enfants Engle
- Quelle Histoire Présente Quelle Histoire
- Les salauds de l'histoire RTL
- Métamorphose, éveille ta conscience ! Anne Ghesquière
- The Rest Is History Goalhanger
- LIVE HISTOIRE Rivenzi