Nach Genre filtern
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
- 212 - Sanaa ya uchoraji wa vinyago na fursa wa biashara inazoletaSat, 09 Nov 2024
- 211 - Muziki wa HIP HOP nchini TanzaniaSat, 26 Oct 2024
- 210 - Tanzania: Sanaa ya ushairi na msanii Michael James maarufu Michael
Sanaa ya ushairi inawavutia zaidi watu wanaotamani kujua utamu na upekee wa lugha adhimu ya Kiswahili, Chuo kikuu cha Dar es salaam kimewatambua na kuwapa fursa vijana waliosomea fani ya sanaa, kubobea katika kughani Mashairi.
Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii Michael James maarufu Michael.
Sat, 28 Sep 2024 - 209 - Tanzania: Muziki wa kizazi kipya kwa vijanaSat, 21 Sep 2024
- 208 - Tanzania: Tunazungumza na kundi la wasani la viongozi generationSat, 14 Sep 2024
- 207 - Tanzania: Muziki wa kizazi kipya na Hussein Mussa Shundi Maarufu RuckySat, 07 Sep 2024
- 206 - Mwanza: Msanii wa Bongo Fleva, Baraka the Prince ndiye mgeni wetu wiki hiiSat, 31 Aug 2024
- 205 - Tanzania: Wiki hii tunaliangazia kundi la Muziki la The MafikiSat, 24 Aug 2024
- 204 - Muziki wa Taarab nchini Tanzania naye Jike la ChuiSat, 17 Aug 2024
- 203 - Zumbukuku nyimbo za taarab zinazokumbukwa hata sasa
Zumbukuku ni miongoni mwa nyimbo zilizofanya vizuri katika muziki wa taarab, hii inashehenezwa na sauti ya kipekee ya kiume inayosikika katika muziki huo, Ally Star ndie aliyeimba wimbo huo; Ungana na Steven Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Ally Star kuhusu namna nyimbo hizo zilivyotia fora.
Sat, 03 Aug 2024 - 202 - Mwanamuziki Ogisha Matale atoa wito wa amani mashariki mwa DRC
Makala ya nyumba ya sanaa wiki hii imepiga kambi mjini Goma huko mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambako mwanzoni mwa mwezi mei mwandishi wetu Ruben Lukumbuka alikutana na msanii Ogisha Matale ambapo katika shughuli zake zake amekuwa akijaribu kuhimiza amani nchini, hususan eneo lake lenye kushuhudia mapigano ya mara kwa mara.
Sat, 27 Jul 2024 - 201 - Mwanamziki Nyota Tiger mwalikwa wa makala Nyumba ya sanaaSat, 20 Jul 2024
- 200 - Mchango wa sanaa ya muziki wa asili katika usuluhishi wa mizozo DRC
Katika makala ya nyumba ya sanaa wiki hii mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mashariki mwa DRC ambako alikutana na Olivier wabahavu, msanii maarufu sana kufuatia nyimbo zake anazoimba katika lugha ya kihavu na kishi huko Kivu kusini na kaskazini, amezungumzia mchango wa sanaa ya muziki wa kiasili katika usuluhishi wa migogoro ya kivita mashariki mwa DR Congo.
Sat, 13 Jul 2024 - 199 - Tanzania: Muziki wa Singeli na Man FongoSat, 06 Jul 2024
- 198 - Tanzania: Muziki wa asili na Jilema Ng'wana ShijaSat, 29 Jun 2024
- 197 - Nyumba ya sanaa na msanii Tourna Boy kuhusu muziki wa kizazi kipya
Karibu katika makala ya Nyumba ya sanaa nami Steven Mumbi, hii leo Msanii Tourna Boy wa kizazi kipya kutoka mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo akielezea kuhusu juhudi za vijana wasanii kuchangia katika juhudi za kurejesha amani ya mashariki mwa nchi hiyo, katika mazungumzo na mwenzangu Ruben Lukumbuka alipotembelea eneo la Goma mwanzoni mwa mwezi mei mwaka huu 2024
Sat, 22 Jun 2024 - 196 - Muziki wa Singeli na Torino Abdul Sykes kutoka Mbagala TanzaniaSat, 08 Jun 2024
- 195 - Wasanii wa mashariki ya DRC wachangia juhudi za upatikanaji wa amani
Makala ya Nyumba ya sanaa wiki hii inamuangazia msanii wa muziki wa regae Mack El Sambo ambaye kwa zaidi ya miaka ishirini amekuwa akihimiza amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, hususan kwenye mji wa Goma katika mkowa wa Kivu Kaskazini. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa Goma na kukutana na mwanamziki huyu..
Sat, 01 Jun 2024 - 194 - DRC: Ubunifu wa viatu vya ngozi mjini Goma na Christian Bazika
Katika Nyumba ya sanaa wiki hii Steaven Mumbi akishirikiana na Ruben Lukumbuka ambaye wiki iliyopita alitembelea mji wa Goma ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako alikutana na mbunifu wa sanaa mbalimbali ikiwemo ubunifu wa kutengeneza viatu bwana Christian Bazika anayetengeneza bidhaa za ngozi mashariki mwa nchi hiyo.
Sat, 25 May 2024 - 193 - Muziki wa dansi na prince Muumin mwijuma kutoka nchini TanzaniaSat, 18 May 2024
- 192 - Tanzania: Sanaa ya uigizaji, tunamuangazia Asha Jumbe maarufu White MariaSat, 11 May 2024
- 191 - Wiki hii makala haya yanamuangazia Steven Ibrahim maarufu Eddy MusicSat, 04 May 2024
- 190 - Muziki wa injili na Obby Alpha ambaye ametunga vibao kama bora kushukuruSat, 27 Apr 2024
- 189 - Zanzibar: Fahamu zaidi kuhusu Muziki wa Baibuda katika makala hayaSat, 13 Apr 2024
Podcasts ähnlich wie Nyumba ya Sanaa
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- Tiempo de Juego COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Les Grosses Têtes RTL
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Andere Kunst Podcasts
- Les lectures érotiques de Charlie Charlie F
- Marrakech du Rire Marrakech du Rire
- La table des bons vivants - Laurent Mariotte Europe 1
- On va déguster France Inter
- Lecture du coran Aelia Phosphore
- Les Grandes traversées France Culture
- Le Son du Desir - podcast érotique - sexe audio le son du desir
- Polar et SF France Culture
- Fabrice Luchini : Des Livres et des Notes Radio Classique
- الأعمال الكاملة لـ د. أحمد خالد توفيق Podcast Record
- Piano 9 Kriti Tara
- Rap Phuntsok Carlos Kharma
- Globule Radio - La Saison Culturelle de Chamonix Mont-Blanc Globule Radio
- LES GENS QUI LISENT SONT PLUS HEUREUX LCI - Jérôme Vermelin
- The Product Shipping Forecast Rosie Watson & Robert Whitfield
- Os Lusiadas Elizandra Raira
- The African in Us The African in Us Podcast
- Le Professeur Layton et le destin interrompu Javras, plus que du son
- روائع المسلسلات الإذاعية Podcast Record
- موسوعة الكتب الصوتية Podcast Record