Filtrar por género

Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

212 - Sanaa ya uchoraji wa vinyago na fursa wa biashara inazoleta
0:00 / 0:00
1x
  • 212 - Sanaa ya uchoraji wa vinyago na fursa wa biashara inazoleta

    Wabunifu wa Sanaa ya Uchongaji Vinyago wamewekeza katika kung'amua fursa ya biashara kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kujikwamua na vipato Duni, Steven Mumbi amezungumza na Mintanga Ramadhani Msanii wa Sanaa za Uchongaji Vinyago kutoka nchini Tanzania.

    Sat, 09 Nov 2024
  • 211 - Muziki wa HIP HOP nchini Tanzania

     

    Muziki wa HIP HOP nchini Tanzania umefifia kutokana na ugumu wa kufanya Muziki huo,Msanii PMawenge anasimulia hatua za kuchukua kuurejesha sokoni katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

    Sat, 26 Oct 2024
  • 210 - Tanzania: Sanaa ya ushairi na msanii Michael James maarufu Michael

    Sanaa ya ushairi inawavutia zaidi watu wanaotamani kujua utamu na upekee wa lugha adhimu ya Kiswahili, Chuo kikuu cha Dar es salaam kimewatambua na kuwapa fursa vijana waliosomea fani ya sanaa, kubobea katika kughani Mashairi.

    Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii Michael James maarufu Michael. 

    Sat, 28 Sep 2024
  • 209 - Tanzania: Muziki wa kizazi kipya kwa vijana
    Sat, 21 Sep 2024
  • 208 - Tanzania: Tunazungumza na kundi la wasani la viongozi generation

    Mwandishi wetu Steven Mumbi amezungumza na kundi la wasani la viongozi generation.

    Sat, 14 Sep 2024
Mostrar más episodios