Podcasts by Category
- 878 - Australia imeridhia sheria kuwazuia watoto kutotumia mitandao ya kijamiiThu, 14 Nov 2024
- 877 - Australia yapitisha sheria ya kuwazuia watoto kutumia mitandao ya kijamiiThu, 14 Nov 2024
- 876 - Baraza la usalama limejadili mapendekezo ya Uingereza kuhusu mzozo wa SudanThu, 14 Nov 2024
- 875 - Changamoto zinazoandama mipango ya bima ya afya katika mataifa ya AfrikaTue, 12 Nov 2024
- 874 - Viwango vya umaskini nchini Uganda vimeongezeka mno ,yasema ripoti mpya
Umaskini umeendelea kukithiri katika baadhi ya maeneo nchini Uganda
Ripoti ya shirika moja lisilo la kiserikali nchini #Uganda, inayoonesha kuwa karibu asilimia 68 ya raia nchini humo wanapata ugumu kujikimu kimaisha kutokana umasikini.
Mon, 11 Nov 2024 - 873 - Maoni ya waskilizaji kuhusu taarifa zetu juma hiliSat, 09 Nov 2024
- 872 - Utekaji wakithiri kwa mataifa ya Africa MasharikiThu, 07 Nov 2024
- 871 - Donald Trump arejea White House kwa kishindoThu, 07 Nov 2024
- 870 - Botswana : Chama tawala chasalimu amri
Katika makala haya tunajadili kilichotokea nchini Botswana ambapo Chama tawala Democratic Party, ambacho kimekuwa madarakani tangu enzi za ukombozi kwa maika 58, kimekubali kushindwa na kukabidhi madaraka kwa upinzani, Duma Boko akiapishwa kuhudumu rais kama rais wa sita wa Botswana.
Je mataifa mengine ya Afrika yenye vyama vya ukombozi madarani yanaweza jifunza nini kutokana na uchaguzi wa Botswana?
Ndilo swali Tumekuuliza na haya hapa baadhi ya maoni yako.
Tue, 05 Nov 2024 - 869 - Africa: Uturuki yashiriki mkutano na Africa kuimarisha uhusianoTue, 05 Nov 2024
- 868 - Tatizo la ajira kwa vijana katika nchi za Afrika MasharikiThu, 31 Oct 2024
- 867 - Kenya: pendekezo la kufanya marekebisho ya katiba kuongeza muda rais na wabunge madarakaniTue, 29 Oct 2024
- 866 - Upinzani kupinga uchaguzi wa Oktoba 9 nchini MsumbijiTue, 29 Oct 2024
- 865 - Kuongezeka kwa ubakaji dhidi ya wanawake na wasichana kwenye maeneo yenye mizozoWed, 02 Oct 2024
- 864 - Ripoti yaonesha kushuka kwa uaminifu wa uchaguzi kati ya mwaka 2020 na 2024 katika nchi 21 AfrikaMon, 30 Sep 2024
- 863 - Kwa nini bado usawa wa kijinsia haujafikiwa katika mataifa mengi ya AfrikaThu, 26 Sep 2024
- 862 - Majengo duni yanayoporomoka na kusababisha majanga barani AfrikaWed, 25 Sep 2024
- 861 - Ajali za boti katika mataifa ya Afrika yakiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya CongoTue, 24 Sep 2024
- 860 - Mwanae rais wa Uganda Jenerali Muhoozi asema nchi hiyo itaongozwa na polisi au jeshi
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hatowania urais ila Uganda itaendelea kuongozwa na polisi au jeshi baada ya rais Museveni
Juma lililopita mtoto wa Rais wa #Uganda pia mkuu wa majeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa nchi hiyo itaongozwa na mwanajeshi au polisi baada ya baba yake kuondoka madarakani.
Mon, 23 Sep 2024 - 859 - Tanzania: Rais Samia awaonya mabaloziThu, 19 Sep 2024
- 858 - Africa : Ukosefu wa ajira wachangia uhalifu miongoni mwa vijanaWed, 18 Sep 2024
- 857 - Africa : Ndoa zinaendelea kuvunjika haraka kinyume na awali
Katika makala haya tunajadili misururu ya kuvunjika kwa ndoa za siku hizi hili haliathiri tu watu wa kawaida bali pia watu maarufu katika jamii zetu.
Je unafikiri nini kinachangia ndoa za siku hizi kuendelea kuvunjika haraka kinyume na zamani?
Ndilo swali tumekuuliza, na haya hapa baadhi ya maoni yako.
Tue, 17 Sep 2024 - 856 - Sudan Kusini : Serikali yaarisha uchaguzi kutokana na shinikizo za wadau
katika makala haya tunajadili hatua ya serikali ya Sudan Kusini juma lililopita kutangaza kuahirisha uchaguzi mkuu uliokuwa ufanyike mwezi Desemba mwaka huu.
Uchaguzi huu sasa ukisongezwa mbele kwa miaka miwili baada ya shinikizo la ndani na nje.
Je huu ni uamuzi sahihi kwa Sudan Kusini?
Haya hapa baadhi ya maoni yako
Mon, 16 Sep 2024 - 855 - Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia chochote kileSun, 01 Sep 2024
Podcasts similar to Habari RFI-Ki
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- Tiempo de Juego COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Other News & Politics Podcasts
- Les Grosses Têtes RTL
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Entrez dans l'Histoire RTL
- C dans l'air France Télévisions
- Laurent Gerra RTL
- L'œil de Philippe Caverivière RTL
- LEGEND Guillaume Pley
- Les récits de Stéphane Bern Europe 1
- On marche sur la tête Europe1
- Hondelatte Raconte - Cote B Europe 1
- L’heure du crime : les archives de Jacques Pradel RTL
- Bercoff dans tous ses états Sud Radio
- Enquêtes criminelles RTL
- La dernière Radio Nova
- Global News Podcast BBC World Service
- TOCSIN PODCAST TOCSIN MÉDIA
- L'Heure des Pros CNEWS
- Culture médias - Thomas Isle Europe 1
- Pascal Praud et vous Europe 1
- C ce soir France Télévisions