Filtrar por gênero

Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

882 - Tanzania, Uganda na DRC zafuzu kucheza AFCON
0:00 / 0:00
1x
  • 882 - Tanzania, Uganda na DRC zafuzu kucheza AFCON


    Hujambo na karibu kwenye makala ya habari rafiki, leo tunajadili kufuzu kwa mataifa ya Tanzania Uganda na DRCongo , kucheza kwenye mchuano ya kuwania AFCON, mataifa haya yakiwakilisha Afrika Mashariki nchini Morroco mwaka ujao.

     

     

    Je unazungumziaje kufuzu kwa mataifa haya?

    Haya hapa baadhi ya maoni.

    Fri, 22 Nov 2024
  • 881 - Kenya : Askofu wa kanisa katoliki walaani serikali

    Katika makala tunajadili hatua ya viongozi wa dini nchini Kenya, kutuhumu serikali kwa kile wamedai imekuwa ikitoa ahadi za uongo kwa raia.

    Je unazungumziaje kauli hii ya viongozi wa dini nchini Kenya?

     

    Haya hapa maoni yako.

    Tue, 19 Nov 2024
  • 880 - Sudan : IGAD yapendekeza vikosi kutuma kulinda raia

    Kwenye makala hayai tunajadili hatua ya Jumuiya ya IGAD kuripotiwa kupendekeza kutumwa kwa wanajeshi wa kulinda amani toka nchi za Afrika ambazo hazijajihusisha kwenye mzozo unaoendelea ili kusimamia mkataba wa usitishaji mapigano kati ya jeshi na wapiganaji wa RSF nchini #sudan.

    Unamtazamo gani kwa pendekezo hili?

     

    Haya hapa baadhi ya maoni yako.

    Mon, 18 Nov 2024
  • 879 - Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio na habari juma lote ikiwemo COP29

    Madu huru zilizoangaziwa na wasikilizaji wetu wiki hii

    Fri, 15 Nov 2024
  • 878 - Australia imeridhia sheria kuwazuia watoto kutotumia mitandao ya kijamii

    Bunge la Australia limesema mitandao ya kijamii ina madhara makubwa kwa watoto

    Thu, 14 Nov 2024
Mostrar mais episódios