Podcasts by Category

Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

RFI Kiswahili

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

293 - DRC : Haki ya mtoto kupata elimu na vizingiti vinavyochangia
0:00 / 0:00
1x
  • 293 - DRC : Haki ya mtoto kupata elimu na vizingiti vinavyochangia

    Katika makala haya tunajadili haki za mtoto kupata elimu nchini DRC, hapa mkuu wa chuo cha walumu cha ISP, Butua Balingane anafafanua vizingiti vya mtoto kupata elumu nchini DRC.

    Kufahamu mengi skiza makala haya.

    Tue, 12 Nov 2024
  • 292 - DRC : Haki ya wanawake kupata elimu

    Nchini DRC, kumeripotiwa upungufu wa watoto wa kike katika kupata elimu, hili likidaiwa kuchangiwa na tamaduni zilizopitwa na wakati.

    Katika makala haya basi Butua Balingane, mkurugezi wa chuo kikuu cha walimu cha ISP, Goma ambaye anasimulia masaibu anayopitia mtoto wa kike nchini DRC kupata elimu.

     

    Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.

    Tue, 05 Nov 2024
  • 291 - Kenya : Wanawake 97 wauawa kwa kipindi cha miezi tatu

    Nchini Kenya, idara ya polisi imekiri kwamba wanawake 97 wameuawa kwa kipindi cha miezi 3, baadhi miili yao ikipatikana imenyofolewa.

    Ni visa ambayo vimesababisa viongozi wa ngazi ya juu akiwemo rais William Ruto, ambaye ametoa agizo wa asasi za uchunguzi nchini humo kuwasaka na kuwachukulia hatua wale wote ambao wamehusika katika visa hivyo.

     

    Kwenya makala haya tunazama kujadili kile kinachoendelea nchini Kenya, ambapo mtaalamu wa maswala ya jamii bi Carolina Situma anaeleza nini kimechangia mauwaji haya.

    Tue, 05 Nov 2024
  • 290 - Kenya : Visa vya raia kutekwa yaongezeka

    Nchini Kenya, visa vya raia kutekwa na kisha baadaye kuachiliwa au kupatikana wameuawa vinazidi kuongezeka, visa kadhaa vikiendelea kugonga vichwa vya habari.

    Katika Makala haya George Ajowi angaazia visa hivi na jinsi mkuu wa polisi nchini Kenya alikosa kufika mahakamani kueleza walipokuwa baadhi ya wakenya waliotekwa.

    Fri, 25 Oct 2024
  • 289 - Hatua zilizopigwa katika kumuinua mtoto wa kike

    Katika muendelezo wa makala kuhusu siku ya mtoto wa kike duniani,  tunaangazia vyanzo vya visa vya unyanyasaji wa watoto wa kike na hatua zilizopigwa na mashirika mbalimbali katika kuifanya sauti ya mtoto wa kike kusikika.

    Thu, 24 Oct 2024
Show More Episodes