Filtrar por gênero

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

RFI Kiswahili

Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.

179 - Ripoti ya mazingira ya UNEP kuhusu pengo la uzalishaji wa gesi chafu duniani 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 179 - Ripoti ya mazingira ya UNEP kuhusu pengo la uzalishaji wa gesi chafu duniani 2024
    Thu, 31 Oct 2024
  • 178 - Jamii Pwani ya Kenya wapinga mradi wa nyuklia kutokana na athari kwa mazingira
    Tue, 29 Oct 2024
  • 177 - DRC:Jamii ya mbilikimo wakemea uharibifu wa misitu unaofanywa na makundi ya waasi
    Wed, 09 Oct 2024
  • 176 - Siku ya kimataifa ya uhamasisho kuhusu upotevu na utpaji wa chakula
    Mon, 30 Sep 2024
  • 175 - Siku ya kimataifa ya kufanya usafi wa mazingira na matumlizi ya teknolojia

    Katika dunia ya sasa ambapo ukuaji wa teknolojia ni wa kasi ya juu, wabunifu katika jamii za pwani nchini Kenya, wamekumbatia matumizi ya teknolojia katika kupiga jeki juhudi za kupunguza taka kwenye mazingira wanayoishi.

    Mon, 23 Sep 2024
Mostrar mais episódios