Filtrar por género
- 179 - Ripoti ya mazingira ya UNEP kuhusu pengo la uzalishaji wa gesi chafu duniani 2024Thu, 31 Oct 2024
- 178 - Jamii Pwani ya Kenya wapinga mradi wa nyuklia kutokana na athari kwa mazingiraTue, 29 Oct 2024
- 177 - DRC:Jamii ya mbilikimo wakemea uharibifu wa misitu unaofanywa na makundi ya waasiWed, 09 Oct 2024
- 176 - Siku ya kimataifa ya uhamasisho kuhusu upotevu na utpaji wa chakulaMon, 30 Sep 2024
- 175 - Siku ya kimataifa ya kufanya usafi wa mazingira na matumlizi ya teknolojiaMon, 23 Sep 2024
- 174 - Wahifadhi wahofia kudidimia kwa tembo aina ya "Super Tusker'Fri, 06 Sep 2024
- 173 - Mchango wa mashirika yasio ya kiserikali kuwezesha upatikanaji wa maji safi kwa jamii nchini KenyaFri, 06 Sep 2024
- 172 - Matumizi ya taka za chupa za plastiki kuendeleza kilimo bila mchanga(Hydroponic farming)Mon, 12 Aug 2024
- 171 - Kenya: Namna mabaki ya ngozi ya samaki yanavyotumiwa kuhifadhi mazingira
Kwa miaka mingi taka inayotoka kwa samaki na viumbe vingine kwenye ziwa, imekuwa ikichafua mazingira na kusababisha samaki wengi kukosa hewa ya oxigeni hivyo kufariki na kusababisha hasara kubwa.Hata hivyo wenyeji sasa wengi wao vijana wameanza kutumia taka hizo kutengeza bayogesi na bidhaa zingine kama vile viatu,nguo,begi mifuko na kadhalika hivyo kubuni ajira na kuinua uchumi.
Katika fuo za Dunga kando na ziwa Victoria kaunti ya kisumu nchini Kenya,wafanyabiashara hapa wanatumia bayogesi kukaanga samaki na kuwauzia wateja wanaotalii êneo hili.Bayogesi hii inayotengenezwa kutokana na mabaki ya samaki ,imewafaidi wenyeji wa hapa kupunguza gharama ya matumizi vile vile kutunza mazingira. Caroline Achieng ni mfanyabiashara wa samaki.
“Tunadumisha usafi kwa sababu wageni wanakuja hapa lazima tudumishe usafi ndio mazingira yetu yasiharibike,mradi huo umesaidia sana kwa sababu wametusaidia kuchukuwa hizi takataka za samaki kama matumbo,wanatengeneza nayo bayogasi hivyo kupunguza uchafu”alisema Caroline Achieng mfanyabiashara wa samaki.
Kwa mujibu wa Achieng, uwepo wa mradi huu umeimarisha biashara yake ukilinganisha wakati alipokuwa akitumia kuni kukaanga samaki.
“Changamoto tuko nayo ni kama samaki haiko kwa sababu mazingira yameharibika,tudumishe usafi tutengeneze mazingira ili samaki ipate kuzalishana baharini.”AlisisitizaAchieng.
Mita chache kutoka kwenye wafanyabiashara hawa wanaokaanga samaki,Mary Dede ni mwenye furaha,Kwa sasa anatumia kawi inayotokana na bayogesi vile vile kawi mbadala,kukausha samaki aina ya dagaa kwa minajili ya kuwahifadhi kwa mauzo ya baadaye.
“Hapo tunaweka Omena kama tunataka kuikausha na inaweza chukuwa hata masaa tatu kukauka.”Alisema Mary Dede.
Kwa miaka mingi taka inayotoka kwa samaki na viumbe vingine kwenye ziwa, imekuwa ikichafua mazingira na kusababisha samaki wengi kukosa hewa ya oxigeni hivyo kufariki na kusababisha hasara kubwa.
Mradi huu wa kutengeneza gesi kutokana na taka hizi umeimarisha mazingira na biashara ya hapa. Charles Ochieng ni mtaalam wa kutengeneza bayogesi kwenye shirika flexy biogás, shirika ambalo linaendesha mradi huu wa gesi êneo hili.
“Huwa tunachukuwa mabaki ya samaki ikifika jioni tunachukuwa tunaichunga maji yake tunamwaga kwa mtungi huu wa bayogesi, hiyo ndio inatengeneza bayogesi,uchafu mwingine tunatengeneza chakula ya kuku na nguruwe.”AlielezaCharles Ochieng ni mtaalam wa kutengeneza bayogesi.
Kwa siku kilo 300 za mabaki ya samaki hukusanywa hapa na kisha kuchakatwa kwa kimombo recycle kisha kuzalisha gesi ambayo kwa mujibu wa Ochieng huuzwa kwenye soko hili na mikahawa karibu.
“Bayogasi hii ,akina mama wanakuja hapa hapa wanapika githeri,omena na samaki na vyakula vingine ,wanalipa na inalingana na kiwacho cha chakula wanapika,ada ya juu zaidi ni shilingi 100 ,ada ya chini ni shilingi 50,tumsaidia eneo hili kutunza mazingira kwa vile uchafu huu sasa haurudishwi baharini.”AlisemaCharles Ochieng.
Takwimu kutoka taasisi ya Utafiti wa Baharini na Uvuvi nchini Kenya zinaonyesha kuwa tani 150,000 za taka za samaki huzalishwa kila mwaka, ambapo asilimia 80 ya taka hizo hutupwa na kuharibu mazingira .Samuel Okoth ni mtaalam wa mazingira jimbo hili la Kisumu.
“Ngozi hii na taka zingine zamani zilikuwa zinatupwa baharini na kuchafua mazingira,ndio tukagundua inaweza tengeneza bayogasi na bidhaa zingine kama viatu ,begi na vile vile kuunda uzi za kushona watu wakati wa upasuaji.”Alisimulia Samuel Okoth ni mtaalam wa mazingira jimbo hili la Kisumu.
Okoth anasema kuwa Ufumbuzi wa teknojia umesaidia sana kutengeneza bidhaa mbalimbali kutokana na taka hizi, hivyo kuajiri vijana wengi eneo hili.
“Bidhaa hizi kama begi hatuuzi hivi hivi tu tunauza katika masoko ya kimataifa kwa sababu dhamani yake ni ya juu mno,kwa sababu huo mchakato wa kuziunda ni ghali mno kama vile kulainisha hiyo ngozi ya samaki na kuifanya kuwa kubwa.”
Kilomita 6 kutoka ufuo huu wa dunga ni ,kijiji cha kajulu kaskazini mwa mji wa Kisumu,,namkuta Sarah Adero akitumia ngozi na magamba ya samaki kutengeza bidhaa kama vile nguo,viatu.magamba haya na ngozi ya samaki hukusanywa kutoka vituo mbalimbali jijini Kisumu .
“Ngozi hizi tunazitoa maeneo kama vile ubunga,tunazileta hapa na kuzilainisha na kuzitumia kutengeneza bidhaa tofautitofauti,ngozi hii ikiachwa tu hivyo itachafua mazingira hata kule baharini kisha samaki wengine wataweza kufariki.”
Mipango kama hii hata hivyo imeonekana kuchangia uchumi endelevu yaani circular economy hasa katika miji mbalimbali nchini Kenya, huku mashirika ya kaboni yakisema kuwa, fumbuzi hizi zitachangia Zaidi ya ajira millioni nane barani Afrika.
“Inaleta mapato sana na nawaambia wenzangu,kila kitu ina kazi,kama hii ngozi ya samaki mtu hawezi jua eti inaweza kutengeneza bidhaa mbalimbali,ingetupwa ingechafua mazingira na pia hatungepata mapato.”
Uwepo wa hatua kama hizi za kutumia taka kutengeneza bidhaa mbalimbali ni moja wapo ya mataifa kama vile Kenya ,kuafikia malengo ya ruwaza ya maendeleo endelevu ya mwaka wa 2030 ,ambapo mataifa yanafaa kutumia uvumbuzi na teknolojia ili kutatua changamoto za mazingira,hivyo kubuni nafasi za kazi na kuimarisha mazingira.
Victor Moturi,Kisumu RFI Kiswahili.
Mon, 05 Aug 2024 - 170 - Uhifadhi wa mbegu za kitamaduni na sera zinazotishia mapato ya wakulima wadogo nchini KenyaMon, 29 Jul 2024
- 169 - Uhifadhi wa mbegu za kitamaduni na kiasili na shirka la Seed Savers NetworkMon, 22 Jul 2024
- 168 - Ugeuzaji wa taka za plastiki kuwa matofali maalum(Cabro) inayotumika kutengeneza barabaraMon, 17 Jun 2024
- 167 - Uboreshaji wa ardhi, kuimarisha ustahimilivu kwa ukame, na kupambana na kuenea kwa majangwaWed, 12 Jun 2024
- 166 - Mradi wa Sola katika kisiwa cha Ndeda, nchini Kenya, waleta mabadiliko kwa wakaaziTue, 21 May 2024
- 165 - Katika makala haya utafahamu kuhusu vimbunga na athari zitokanazo na vimbungaMon, 20 May 2024
- 164 - Majadiliano kuhusu mkataba wa kisheria wa kimataifa kudhiti uchafuzi wa taka za plastikiTue, 14 May 2024
- 163 - Nchi za Afrika Mashariki zaendelea kushuhudia mvua kubwa zikihusishwa na El NinoMon, 06 May 2024
- 162 - Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya AfrikaMon, 29 Apr 2024
- 161 - Ukulima wa baharini pwani ya KenyaTue, 23 Apr 2024
- 160 - Ukulima wa minyoo wa ardhini(Earthworm) katika utengenezaji wa mbolea asiliTue, 16 Apr 2024
- 159 - Kenya: Upanzi wa mimea yenye uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchiMon, 15 Apr 2024
- 158 - Tamasha la mazingira liliandaliwa jijini GOMA nchini DRCTue, 02 Apr 2024
- 157 - Wakulima nchini Kenya wajiandaa kwa msimu wa kupandaMon, 18 Mar 2024
- 156 - Akina mama wahifadhi mashamba ya pweza Lamu katika bahari hindi
Sote tunataka familia zetu ziwe na chakula cha kutosha ili kula kile ambacho ni salama na chenye lishe. Na lengo la 2 la maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa ni ulimwengu usio na njaa ifikapo 2030.
Lakini licha ya juhudi zinazowekwa, suala la njaa na uhaba wa chakula limeonyesha ongezeko la kutisha tangu 2015, hali hii ikichochewa na mseto wa mambo ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa na upungufu wa uzalishaji wa chakula.
Kisiwani Pate jimboni Lamu, hapa akina mama wana zaidi ya mashamba matatu ya pweza katika bahari hindi, kwa manufaa ya chakula na mapato.
Sat, 16 Mar 2024
Podcasts similares a Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- Tiempo de Juego COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- Les Grosses Têtes RTL
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Otros podcasts de Ciencia y Medicina
- BBC Inside Science BBC Radio 4
- Choses à Savoir SCIENCES Choses à Savoir
- Dossiers OVNI Les dossiers OVNI
- Mystères & Étoiles Zebroloss
- Entre mystères & secrets : la fascinante histoire des OVNIS RTBF
- Relaxation Banun
- Geopop - Le Scienze nella vita di tutti i giorni Geopop
- Das Wissen | SWR SWR
- Thinkerview Thinkerview
- Tout Louie Louie Media
- Anthropologie de la nature - Philippe Descola Collège de France
- The Infinite Monkey Cage BBC Radio 4
- Ruido de lluvia y truenos para dormir Ruido de lluvia
- ZOE Science & Nutrition ZOE
- En route vers les etoiles En route vers les étoiles
- Sixième Science 20 Minutes
- Micro sciences ‐ RTS RTS - Radio Télévision Suisse
- Poussière d'étoile Ripley Media
- StarTalk Radio Neil deGrasse Tyson
- Voyage dans l'espace Claude Lafleur