Podcasts by Category

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio. Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu

1042 - Je ni utaratibu gani unaofuatwa wakati wa kumchagua Papa?
0:00 / 0:00
1x
  • 1042 - Je ni utaratibu gani unaofuatwa wakati wa kumchagua Papa?

    Karibu uungane nami Patrick Paschal Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, akijibu swali hili Je ni utaratibu gani unaofuatwa wakati wa kumchagua Papa?

    Thu, 14 Nov 2024 - 57min
  • 1041 - Je, kwanini historia ya Yuda Isikarioti haipo kwenye Biblia Takatifu?

    Karibu uungane nami Patrick Paschal Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, akijibu swali hili Je, kwanini historia ya Yuda Isikarioti haipo kwenye Biblia Takatifu?

    Thu, 14 Nov 2024 - 56min
  • 1040 - Je, Kuna tofauti gani kati ya Rozari na Novena?

    Karibu uungane nami Patrick Paschal Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, akijibu swali hili Je, Kuna tofauti gani kati ya Rozari na Novena?

    Thu, 14 Nov 2024 - 57min
  • 1039 - Kwanini Sala ni pambano?

    Karibu uungane nami Elizabeth Masanja , katika  kipindi cha Utume wa Walei, Leo nipo na Bi.Rosse Gerald, akiendelea kufundisha juu ya mada kwanini Sala ni pambano tutpambanie kuwaombee marehemu.

    Thu, 14 Nov 2024 - 57min
  • 1038 - Mfahamu mfalme Herode mkubwa.

    Karibu uungane nami Martin Joseph , katika  kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Leo nipo na Padre Titus Amigu  kutoka  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akiendelea kufundisha juu ya   kukoseana na kusamehana akiwatazama Wafalme mbalimbali, leo anamzungumzia Mfalme Herode.

    Thu, 14 Nov 2024 - 39min
Show More Episodes