Filtrar por género
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
- 100 - Rais wa DRC Felix Tshisekedi athibitisha kuwa uchaguzi utafanyika mwaka 2023
Rais wa DR Congo Felix Tshisekedi amewaambia viongozi wa dunia kuwa uchaguzi mkuu utafanyika nchini mwake mwaka 2023 kama ilivyopangwa kikatiba.Kauli hii pia imeungwa mkono na spika wa Bunge la kitaifa huko DRC Chistophe Mboso Nkodia wakati wa Mkutano wake na Raia kwenye mji wa Kinshasa Siku ya Jumapili iliyopita.Hata hivyo Tume ya Uchaguzi inayotakiwa kuandaa uchaguzi huo, haijawekwa wazi.
Wed, 29 Sep 2021 - 99 - Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022Wed, 15 Sep 2021
- 98 - Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika
Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'ania madaraka mwisho wake siku zote ni mapinduzi ya kijeshi, nini kifanyike ili ifike mahali demokrasia na watawala waheshimu katiba za nchi zao?
Mjadala wa wiki na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka
Fri, 10 Sep 2021 - 97 - Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzuluWed, 25 Aug 2021
- 96 - Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama LukondeThu, 12 Aug 2021
- 95 - Siasa za vyama nchini Kenya kuelekea Uchaguzi MkuuThu, 15 Jul 2021
- 94 - Mvutano kati ya Rwanda na Uganda Marekani yatia nenoWed, 13 Mar 2019
- 93 - Mzozo kati ya Rwanda na Uganda kuhusu mpaka wa KatunaWed, 06 Mar 2019
- 92 - Mustakabali wa DRC baada ya matokeo ya uchaguziThu, 31 Jan 2019
- 91 - Mzozo wa kisiasa nchini VenezuelaWed, 30 Jan 2019
- 90 - Wananchi wa DRC bado wanasubiri matokeo ya Uchaguzi MkuuWed, 09 Jan 2019
- 83 - Miaka minne ya rais wa Tanzania John MagufuliWed, 06 Nov 2019
- 82 - Hatima ya Uchaguzi Mkuu nchini Msumbiji
Wananchi wa Msumbiji, wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu baada ya kupiga kura siku ya Jumanne. Ni uchaguzi ambao wachambuzi wa siasa wanasema ni kipimo cha demokrasia na utekelezwaji wa mkataba wa amani uliotiwa saini kati ya waasi wa Renamo na serikali, miezi miwili iliyopita. Tunajadili suala hili.
Wed, 16 Oct 2019 - 81 - Dunia kuangazia mabadiliko ya tabia nchi
Mabadiliko ya tabia nchi yamechangia kuyeyuka kwa theluji katika milima mbalimbali Duniani hatua inayoisukuma nchi ya Ufaransa kuja na mradi wa kufanya utafiti ili kuhifadhi barafu unaoitwa Kumbukumbu ya Barafu iliyopo katika Mlima mrefu barani Afrika wa Kilimanjaro.
Hayo yanajiri wakati huu dunia ikiangazia namna ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Wed, 25 Sep 2019 - 80 - Rais wa DRC Felix Tshisekedi azuru Ubelgiji kuimarisha uhusiano
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi,
yupo ziarani nchini Ubelgiji. Ni ziara yake ya kwanza barani Ulaya, baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa DRC mapema mwaka huu. Tshisekedi yupo nchini Ubelgji, kuhimiza ushirikano kati ya nchi hizo mbili, uhusiano ambao ulikuwa baridi wakati wa uongozi wa rais wa zamani Joseph Kabila.Je, ziara hii ina umuhimu gani kwa raia wa DRC na kwanini inazua maswali
mengi maswali miongoni mwa raia wa DRC wauishio nje na ndnai ya nchi ?Kujadiki hili, tunauganba na Raphae Bakema, mchambuzi wa siasa za DRC na
eneo la Maziwa Makuu, akiwa Goma lakini Profesa Malonga Pacique akiwa
jijini Kgali.
Wed, 18 Sep 2019 - 79 - Baraza huru laundwa nchini SudanWed, 21 Aug 2019
- 78 - Mkutano wa 39 SADC kuangazia uchumi wa viwanda
Karibu katika makala ya mjadala wa wiki.Kikao cha 39 cha viongozi wa mataifa ya SADC kinataraji kuanza jijini Dar es salaam nchini Tanzania ajenda kuu ni kujadili mkakati wa kiuchumi kwa kuhimiza viwanda katika mataifa hayo.Fuatilia kwa kina,wachambuzi Wetengere Kitojo na Saidi Msonga wameangazia kinaga ubaga katika makala haya na mwandishi wetu Martha Saranga.
Wed, 07 Aug 2019 - 77 - Nani atamaliza Ebola nchini DRC ?
Wiki hii Waziri wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Oly Ilunga alitangaza kujiuzulu, baada ya kushtumu uamuzi wa rais Felix Tshekedi kumwondoa kwenye Kamati maalum ya kupambana na janga la ugonjwa hatari wa Ebola, ambao tangu mwezi Agosti mwaka 2018, umesababisha vifio vya watu 1,700 na wengine zaidi ya 200 kuambukizwa katika jimbo la Kivu Kaskazini. Nani atasaidia kumaliza Ebola nchini DRC na juhudi za WHO zinafua dafu ?
Wed, 24 Jul 2019 - 76 - Mauaji nchini Ethiopia yanalenga kuharibu mipango ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed ?
Mnadhimu Mkuu wa jeshi nchini Ethiopia Jenerali Seare Mekonnen ameuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake jijini Addis Ababa, sawa na rais wa jimbo la Amharic Ambachew Mekonen ambaye alishambuliwa na watu wenye silaha. Ni mauaji yanayokuja wakati huu, Waziri Mkuu Abiy Ahmed akiendeleza mageuzi nchini mwake.
Hii inamaanisha nini ? Tunachambua na wachambuzi wa siasa za Kimataifa Haji Kaburu, Comrad Sambalawote wakiwa jijini Dar es salaam nchini Tanzania. Emmanuel Makundi,anashiriki pia, ni Mwanhabari wa RFI Kiswahili.
Wed, 26 Jun 2019 - 75 - Machafuko nchini Sudan, maafa na majeruhi yaripotiwaWed, 05 Jun 2019
- 74 - DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitanoThu, 23 May 2019
- 73 - Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu ataka maandamano dhidi ya rais TshisekediThu, 02 May 2019
- 72 - Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika ajiuzulu
Baada ya kuwa madarakani kwa miaka 20 hatimaye Abdulaziz Bouteflika amelazimika kusalimu amri na kujiuzulu kama rais wa nchi wa Algeria.
Nini hatima ya nchi ya Algeria baada ya kujiuzulu kwa Bouteflika mwenye umri wa miaka 82 ambaye tangu mwaka 2013 amekuwa akitumia gari la magurumu baada ya kupatwa na kiharusi.
Kwa mujibu wa Katiba, Spika wa Senate sasa ndio rais wa muda hadi pale Uchaguzi mpya utakapofanyika.
Wed, 03 Apr 2019 - 71 - IS ladhoofishwa Syria na IraqWed, 27 Mar 2019
Podcasts similares a Mjadala wa Wiki
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- Tiempo de Juego COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Affaires sensibles France Inter
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- TED Talks Daily TED
- The Tucker Carlson Show Tucker Carlson Network
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Otros podcasts de Noticias y Politica
- Les Grosses Têtes RTL
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Entrez dans l'Histoire RTL
- C dans l'air France Télévisions
- Laurent Gerra RTL
- L'œil de Philippe Caverivière RTL
- LEGEND Guillaume Pley
- Les récits de Stéphane Bern Europe 1
- On marche sur la tête Europe1
- Hondelatte Raconte - Cote B Europe 1
- L’heure du crime : les archives de Jacques Pradel RTL
- Bercoff dans tous ses états Sud Radio
- Enquêtes criminelles RTL
- La dernière Radio Nova
- Global News Podcast BBC World Service
- TOCSIN PODCAST TOCSIN MÉDIA
- L'Heure des Pros CNEWS
- Culture médias - Thomas Isle Europe 1
- Pascal Praud et vous Europe 1
- C ce soir France Télévisions